Kurushwa hewani: May 17th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mheshimiwa Daniel Chongolo amekagua zoezi la maboresho ya miundombinu na uunganishwaji wa vyumba vya biashara na pia kuagiza wajasiriamali wote kuanza biashara zao ...
Kurushwa hewani: May 16th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mhe. Esther Mahawe ametembelea Hospital ya Vwawa kuangalia mwenendo wa matibabu yanayotolewa na madaktari bingwa kambi ya Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
M...
Kurushwa hewani: May 15th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mhe Esther Mahawe awataka waheshimiwa madiwani na wataalam ngazi ya kata kuimarisha ulinzi na usalama katika maeneo yao.
Pia, Mhe. Mahawe amewasisitiza madiwa...