Kurushwa hewani: November 9th, 2023
Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbozi, Ndugu Mbwana Kambangwa amewasisitiza watendaji wa kata katika wilaya hiyo kusimamia utekelezaji wa afua za lishe ili kutokomeza udumavu.
Kambangwa ametoa agizo hil...
Kurushwa hewani: November 2nd, 2023
Mkuu wa kituo cha Polisi Mlowo, John Maro amewashauri wenyeviti wa mitaa katika mji mdogo wa Mlowo wilayani Mbozi mkoani Songwe kuanzisha kliniki ya kuwabaini vijana watukutu katika mji huo.
Maro a...
Kurushwa hewani: October 27th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Momba Mhe. Kenani Kihongosi amewapongeza waheshimiwa madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi kwa kazi wanazoendelea kuzifanya katika Wilaya hiyo hasa ya kuleta maendeleo kwa wanan...