Kurushwa hewani: October 13th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Mhe. Ester Mahawe amemuomba Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu kuwajengea hospitali ya Wilaya badala ya kurekebisha hospitali ya Wilaya ya Vwawa iliopo sasa.
DC Mahawe ametoa...
Kurushwa hewani: September 12th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Mbozi mkoni Songwe, Esther Mahawe amewataka wananchi kutoa ushirikiano kwa wahudumu wa afya watakaopita katika maeneo yao kutoa chanjo ya ugonjwa wa Polio huku akiwashauri wananchi &...
Kurushwa hewani: September 5th, 2023
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023, Abdalla Shaibu Kaim amesema mafanikio waliyoyaona katika miradi iliyopitiwa na Mwenge wa Uhuru 2023 yametokana na uongozi mahiri wa viongozi wa Wilaya...