Kurushwa hewani: April 17th, 2023
MBOZI. Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe imepata Shilingi Bilioni 1.7 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya elimu ya awali na msingi katika shule 10.
Fedha hizo ni kati ya Shilingi Bil...
Kurushwa hewani: April 6th, 2023
MBOZI. Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, George Musyani ametoa rai kwa wananchi wa wilaya hiyo kuchangia nguvu kazi katika miradi inayoletwa na Serekali.
Musyani ametoa r...
Kurushwa hewani: April 6th, 2023
MBOZI. Kamati ya Uchumi, Fedha na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi imetoa wiki mbili kwa kijiji cha Shilanga kata ya Ihanda kupiga hatua ukamilishaji wa zahanati ya ya kijiji hicho baada ya k...