Kurushwa hewani: February 20th, 2023
MBOZI. Mkuu wa Wilaya ya Mbozi (DC), Esther Mahawe amekutana na kufanya mazungumzo viongozi wa dini katika wilaya hiyo kujadili mustakabali wa wilaya hiyo.
Kikao hicho kimefanyika...
Kurushwa hewani: February 18th, 2023
MBOZI.Wadau mbalimbali mkoani Songwe wameombwa kujitokeza kusaidia michango na vifaa ili kuwawezesha wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na masomo ambao hawana vifaa na sare katika mkoa huo.
...
Kurushwa hewani: February 18th, 2023
MBOZI. Mkuu wa Wilaya ya Mbozi (DC), Esther Mahawe amekabidhi pikipiki tisa kwa watendaji wa kata ambazo zitawasaidia katika kutekeleza majukumu yao.
Mkuu wa wilaya huyo amekabidhi pikipik...