Kurushwa hewani: February 18th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Mhe. Hamad Mbega, amefanya kikao maalum na Kamati ya Amani ya wilaya hiyo, akisisitiza umuhimu wa mshikamano na ushirikiano kati ya Serikali na makundi mbalimbali ya kijamii.
...
Kurushwa hewani: February 17th, 2025
Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPPC) kimetembelea maeneo ya miradi inayotarajiwa kutekelezwa katika Wilaya ya Mbozi huku kikitoa mafunzo ya uibuaji wa miradi inayoweza kutekele...
Kurushwa hewani: February 17th, 2025
Wazazi wa wanafunzi wanaosoma shule ya Msingi Itete Kata ya Mlowo wamemkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Mhe. Hamad Mbega madawati 140 yenye thamani ya zaidi ya Sh6 milioni ikiwa ni juhudi zao kutatua ...