Kurushwa hewani: October 24th, 2023
Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Bi Happiness Seneda amewataka wakuu wa Idara na Vitengo katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi kusikiliza na kutatua kero za watumishi wa Wilaya hiyo.
Amesema ...
Kurushwa hewani: October 20th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mhe. Esther Mahawe amewataka wafanyabiashara wa Wilaya hiyo kuhakikisha wanatoa risiti za kielekroniki wanapouza bidhaa katika maduka yao.
DC Mahawe ametoa wito huo leo Alha...
Kurushwa hewani: September 26th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe , Mhe. Esther Mahawe amekutana na kuzungumza na wadau wa kilimo cha kahawa Wilayani Mbozi.
DC Mahawe amekutana na wadau hao leo Jumanne Septemba 26, 2023 katik...