Kurushwa hewani: March 21st, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Mhe. Hamad Mbega amewataka watendaji wa kata, maafisa elimu kata na walimu wakuu kushirikiana kwa karibu ili kuhakikisha kazi inafanyika kwa ufanisi.
Mhe. Mbega am...
Kurushwa hewani: March 21st, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Mhe. Hamad Mbega, amewakabidhi sare za shule wanafunzi 120 wa Shule ya Msingi Isangu wanaotoka katika mazingira magumu.
Mkuu wa Wilaya huyo amekabidhi sare hizo le...
Kurushwa hewani: March 19th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Mhe. Hamadi Mbega, amefanya ziara ya kusikiliza na kutatua kero za wananchi katika Kata ya Ipunga huku akihamasisha ushirikiano baina ya Serikali na jamii katika kutekeleza mi...