Kurushwa hewani: March 16th, 2024
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Mhe. George Musyani ametembelea shule ya Sekondari ya Isandula kata ya Ukwile kushughulikia mgogoro wa ardhi katika Kijiji hicho kwa kufanya majadili...
Kurushwa hewani: March 15th, 2024
Watoto 124 kutoka shule za msingi na sekondari kata ya Hezya Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi wamepokea msaada kutoka katika Shirika la Wakinamama na Watoto (WAKINA Foundation).
Wanafunzi ha...
Kurushwa hewani: March 14th, 2024
Walimu wa shule za msingi Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wametakiwa kufuata kanuni bora za ufundishaji kwasababu ni watu wanaotoa mwelekeo, ujuzi na ufahamu kwa wanafunzi
...