• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Mbozi District Council
Mbozi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango , Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Maliasili
    • Vitengo
      • Wakaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

DKT MAGEMBE AWATAKA WATUMISHI WA AFYA KUZINGATIA MAADILI NA WELEDI, SONGWE

Kurushwa hewani: July 12th, 2023

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt Grace Magembe amewataka watumishi wa Afya katika Mkoa wa Songwe kufanya kazi kwa kuzingatia maadili huku akiwapongeza watumishi hao katika mkoa huo kwa kazi nzuri wanayoifanya.

Dkt Magembe amesema hayo leo Jumatano Julai 12, 2023 wakati wa ziara ya kutembelea Kituo cha Afya cha Isansa, Hospitali ya Rufaa ya  Mkoa wa Songwe na Hospitali ya Wilaya ya Mbozi Vwawa.

Amesema "Sisi wateja wetu ni wananchi wanakuja kupata huduma. Wahudumiwe kwa wakati wapate huduma bora, kama mpo bize wapeni taarifa wagonjwa na ndugu wanaosubiri" amesema

Pia, Dkt Magembe amesisitiza kufanyika ukaguzi wa mara kwa mara wa dawa, vifaa tiba na huduma zinazotolewa.

" Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia anatoa pesa nyingi katika sekta ya afya, ukaguzi unasaidia kuwa na kumbukumbu halisi maana mali bila daftari huisha bila habari" amesisitiza

Vilevile amewataka viongozi wa vituo vya afya na hospitali kufanya vikao na watumishi ili kujua  mahitaji yao.

Pia, amewataka watumishi kuwa na lugha nzuri akisema kuwa lugha nzuri ni dawa kwa mgonjwa anapofika hospitalini.

"Lugha nzuri ni dawa hata kama hujampa dawa mgonwa ukimpa maneno mazuri anafarijika" ameeleza

Dkt Magembe ambaye aliambatana na Naibu Katibu Mkuu wa Tamisemi (Afya), Dkt Charles Mahela amewataka watumishi hao kuepuka masuala ya rushwa.

Amewapongeza Kituo cha Afya cha Isansa kwa kuwa na chumba maalumu cha watoto wachanga ambao wanazaliwa na changamoto mbalimbali ikiwemo upungufu wa uzito.

Ametoa rai kwa wananchi wa Kata ya Isansa kuwapa ushirikiano watumishi wa kituo hicho ili waweze kudumu kwa muda mrefu na waweze kutoa huduma bora.

Kwa upande wake Naibu Katibu Mkuu wa Tamisemi (Afya), Dkt Charles Mahela amewamepongeza watumishi wa afya katika mkoa huo kwa kazi nzuri na kusema kuwa Serikari imewekeza sana katika sekta ya afya

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA March 09, 2025
  • RASIMU PENDEKEZWA YA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2025. March 09, 2025
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DC MBEGA AWATAKA VIONGOZI WA KATA KUSHIRIKIANA KATIKA UTENDAJI

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AGAWA SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI 120 WANAOTOKA MAZINGIRA MAGUMU ISANGU

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI, ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    March 19, 2025
  • DC MBEGA ASISITIZA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI MZURI WA AMCOS MBOZI

    March 18, 2025
  • Ona vyote

Video

VIJANA MSITUMIE MIKOPO YA 10% KUBET MBOZI
video zaidi

Kurasa za Karibu

  • You Tube
  • Katiba

Tovuti Muhimu

  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

Watembeleaji wa kimataifa

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

writingMasterThesis

Eneo la ramani

Wasiliana nasi

    Mbozi

    Anuani: 3

    Simu: 025-2580272

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa