• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Mbozi District Council
Mbozi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango , Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Maliasili
    • Vitengo
      • Wakaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

DAS AWATAKA WATAALAMU WA TIBA ASILI KUFUATA TARATIBU, KUACHA RAMLI CHONGANISH MBOZI

Kurushwa hewani: April 20th, 2024

Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbozi, ndugu Mbwana Kambangwa amewataka wataalamu wa tiba asili kufuata taratibu zinazoongoza huduma zao huku akikemea wanaofanya ramli chonganishi.


Kambangwa ametoa rai hiyo leo Jumamosi Aprili 20, 2024 wakati akiongea na wataalamu hao wa tiba asili huku akiwataka wale wanaotoa huduma hili bila kujisajili wafute taratibu za kujisajili.


"Pamoja na kutambuliwa na Serikali nanyi mna changamoto wengi wenu hamjajisajili Ili mtambuliwe. Inatakiwa muwe na leseni na chama chenu mjisajili. Mnatakiwa kujitambua kama wewe ni mtaalamu kwanini usijisajili" amehoji


Amewataka wale wanaofanya ramli chonganishi kuacha tabia hiyo kwa kuwa ina madhara makubwa.


"Mnachangamoto ya kufanya ramli chonganishi ambayo inamadhara makubwa ktk jamii. Watu wanashindwa hata kuzikana, hii lamli chonganishi inatupelekea kuto kuaminika, zinagombanisha na kuharibu tiba asili. Tutaharibu soko letu, leo umemchanganisha mtu kesho atakuja?"


Ameeleza kuwa kutokana na ramli chonganishi zinasabsbisha baadhi ya watu kufanya mauaji. Unaenda kumchinja mtu anategemewa na familia, ili uwe na mali lazima ufanye kazi kwa bidii, hii inaharibu heshima yetu"


"Kweli tunatafuta fedha. Ukipata mali kwa njia haramu haina baraka kwasababu fedha Ile ni haramu unapata majanga mengi na hazidumu, au zinakuwa chanzo Cha maafa kwa ndugu zake" amesisitiza na kuongeza;


"Wengine tunaendesha hapa huduma za ukunga ukiona kuna changamoto muwahishe hospitali kuokoa uhai wake. Huwezi kufanya oparesheni, unakaa na mgonjwa pale umekaa unakula fedha ya ile familia laana lazima ikupate, damu zao lazima zirudi kwenye kizazi chako" amesema

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA March 09, 2025
  • RASIMU PENDEKEZWA YA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2025. March 09, 2025
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DC MBEGA AWATAKA VIONGOZI WA KATA KUSHIRIKIANA KATIKA UTENDAJI

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AGAWA SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI 120 WANAOTOKA MAZINGIRA MAGUMU ISANGU

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI, ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    March 19, 2025
  • DC MBEGA ASISITIZA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI MZURI WA AMCOS MBOZI

    March 18, 2025
  • Ona vyote

Video

VIJANA MSITUMIE MIKOPO YA 10% KUBET MBOZI
video zaidi

Kurasa za Karibu

  • You Tube
  • Katiba

Tovuti Muhimu

  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

Watembeleaji wa kimataifa

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

writingMasterThesis

Eneo la ramani

Wasiliana nasi

    Mbozi

    Anuani: 3

    Simu: 025-2580272

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa