• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Mbozi District Council
Mbozi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango , Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Maliasili
    • Vitengo
      • Wakaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

WILAYA YA MBOZI WAPEWA MAUA YAO

Kurushwa hewani: September 5th, 2023

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2023, Abdalla Shaibu Kaim amesema mafanikio waliyoyaona katika miradi iliyopitiwa na Mwenge wa Uhuru 2023 yametokana na uongozi mahiri wa viongozi wa Wilaya hiyo huku akibainisha kuwa Mkuu wa Wilaya hiyo, Esther Mahawe amemheshimisha Rais Samia Suluhu Hassan kwa usimamizi mzuri wa miradi mbalimbali.

Amesema kuwa umahiri wa usimamizi wa miradi umefanyamiradi kutokukutwa na dosari huku akweka wazi kuwa Halmashauri hiyo imeweza kutoka na ‘clean sheet’ ya kibabe.

Kaim amesema hayo wakati wa makabidhiano ya Mwenge huo kati ya Wilaya ya Mbozi na Halmashauri ya Mji Tunduma.

“Tumepitia miradi yote. Nipende tu kusema kuwa Mbozi mmetisha, Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya umetuheshimisha sana na umemheahimisha Mheshimiwa Rais Samia. Usimamizi mahiri ya miradi umewezesha Mbozi mmetoka na ‘clean sheet’ ya kibabe” amesema Kiongozi huyo wa Mbio za Mwenge kitaifa kabla Mwenge huo haujapokelewa Tunduma.

Amesema kuwa utekelezaji wa miradi kwa viwango ni njia mojawapo ya kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan hali ambayo itasaidia kupata miradi mingine.

Akizungumza katika majumuisho ya mbio hizo, Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Esther Mahawe amesema mafanikio yanayopatikana katika utekelezaji wa miradi katika Halmashauri hiyo yanatokana na ushirikiano kati ya wafanyakazi wa Wilaya hiyo na wananchi.

“Tunashukuru sana miradi yetu yote imezinduliwa na kuwekwa mawe ya msingi. Mafanikio haya yanatokana na ushirikiano tulionao katika Wilaya yetu” ameeleza Mkuu huyo wa Wilaya.

Mwenge wa Uhuru ukiwa wilayani Mbozi ulitembelea miradi nane yenye thamani ya Sh8.2 bilioni huku ukikimbizwa Kilometa 130 katika Wilaya hiyo.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA March 09, 2025
  • RASIMU PENDEKEZWA YA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2025. March 09, 2025
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DC MBEGA AWATAKA VIONGOZI WA KATA KUSHIRIKIANA KATIKA UTENDAJI

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AGAWA SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI 120 WANAOTOKA MAZINGIRA MAGUMU ISANGU

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI, ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    March 19, 2025
  • DC MBEGA ASISITIZA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI MZURI WA AMCOS MBOZI

    March 18, 2025
  • Ona vyote

Video

VIJANA MSITUMIE MIKOPO YA 10% KUBET MBOZI
video zaidi

Kurasa za Karibu

  • You Tube
  • Katiba

Tovuti Muhimu

  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

Watembeleaji wa kimataifa

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

writingMasterThesis

Eneo la ramani

Wasiliana nasi

    Mbozi

    Anuani: 3

    Simu: 025-2580272

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa