• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Mbozi District Council
Mbozi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango , Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Maliasili
    • Vitengo
      • Wakaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

WAZAZI WA WANAFUNZI SHULE YA ITETE WAMKABIDHI DC MBEGA MADAWATI 140 WILAYANI MBOZI

Kurushwa hewani: February 17th, 2025

Wazazi wa wanafunzi wanaosoma shule ya Msingi Itete Kata ya Mlowo wamemkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Mhe. Hamad Mbega madawati 140 yenye thamani ya zaidi ya Sh6 milioni ikiwa ni juhudi zao kutatua changamoto ya uhaba wa madawati katika shule hiyo.


Wazazi hao wamekabidhi madawati hayo leo Jumatatu Februari 17, 2024 wakati wa hafla iliyofanyika katika Shule ya Itete Kata ya Mlowo.


Akizungumza wakati wa hafla hiyo, Mhe. Mbega amewashukuru wazazi hao kwa jitihadi hizo za kuamua kuchangia madawati ili kuwatatulia changamoto ya uhaba wa madawati.


"Niwashukuru sana wananchi kupitia wazazi hawa kwa kuonesha ubunifu wa kutatua changamoto kwa wanafunzi. hii inaonyesha kuwa mmeona kazi nzuri alizofanya Rais wetu Mheshimiwa, Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuwekeza katika sekta ya elimu. Mmeonyesha mfano wa kuigwa nawashauri wazazi wengine muige kwa wazazi hawa" amesema DC Mbega


Mhe. Mbega pia amewapa wazazi hao salamu na pongezi kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Daniel Chongolo kwa jitihada hizo walizozionyesha.


Akitoa taarifa kwa Mkuu wa Wilaya huyo, Mwakilishi wa wazazi hao amesema kuwa wazo la kutengeneza madawati hayo lilianza Januari 28, 2025 baada ya uongozi wa shule kuitisha mkutano na kujadili mambo mbalimbali ikiwemo changamoto ya madawati ambapo wazazi waliazimia kuchangia ili kutengeneza madawati hayo.


Pia, wazazi hao wamechangia fedha kwaajili ya kuweka sakafu madarasa manne ili kuweka mazingira bora kwa wanafunzi wa shule hiyo.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA March 09, 2025
  • RASIMU PENDEKEZWA YA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2025. March 09, 2025
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DC MBEGA AWATAKA VIONGOZI WA KATA KUSHIRIKIANA KATIKA UTENDAJI

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AGAWA SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI 120 WANAOTOKA MAZINGIRA MAGUMU ISANGU

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI, ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    March 19, 2025
  • DC MBEGA ASISITIZA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI MZURI WA AMCOS MBOZI

    March 18, 2025
  • Ona vyote

Video

VIJANA MSITUMIE MIKOPO YA 10% KUBET MBOZI
video zaidi

Kurasa za Karibu

  • You Tube
  • Katiba

Tovuti Muhimu

  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

Watembeleaji wa kimataifa

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

writingMasterThesis

Eneo la ramani

Wasiliana nasi

    Mbozi

    Anuani: 3

    Simu: 025-2580272

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa