• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Mbozi District Council
Mbozi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango , Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Maliasili
    • Vitengo
      • Wakaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

WATENDAJI KATA WATAKIWA KUTOA USHIRIKIANO KWA TIMU YA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBOZI WAKATI WA UKUSANYAJI MAEREJESHO YA MIKOPO YA ASILIMIA 10

Kurushwa hewani: May 14th, 2024

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Mhe. George Musyani amewataka watendaji wa kata kuhakikisha wanatoa ushirikiano wakati timu ya Halmashauri inapokwenda kufuatilia wadaiwa  wa marejesho ya mikopo ya asilimia 10 ya Halmashauri


Mhe. Msyani ametoa maelekezo hayo katika kikao cha Baraza la Madiwani la Kata la kuwasilisha taarifa za kata lililofanyika katika ukumbi wa Halmashauri.


Akizungumza wakati wa ufunguzi wa baraza hilo la madiwani, Mwenyekiti huyo amesema kuwa Halmashauri inaanza mkakati wa kufuatilia madeni  ya marejesho ya mikopo ya asilimia kumi kwa ngazi ya kata hivyo watendaji wa kata watoe ushirikiano kutokana na wao kuwafahamu wanufaika waliokopa katika ofisi zao.


"Wakati wa ufutiliaji wa hizo fedha Mtendaji hakikisha kikundi husika kinapatikana katika ofisi yako ya kata  kuepusha usumbufu" amesisitiza


"Tunahitaji zoezi lifanyike ndani ya muda mfupi hivyo ukiwa kama kiongozi wa kata nenda ukawahamasishe hao watu wa vikundi waweze kufanya marejesho mapema kwa hiari. Sio sifa nzuri  kwa vikundi vyetu kuanza kupelekana mahakamani wakati maridhiano yangefanyika" ameeleza


Mwenyekiti huyo ametumia fursa hiyo kuwataarifu kurejeshwa kwa mikopo ya asilimia kumi ambayo inawahusi Wanawake vijana na watu wenye ulemavu ambayo itaanza kutolewa rasmi Julai 1, 2024.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA March 09, 2025
  • RASIMU PENDEKEZWA YA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2025. March 09, 2025
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DC MBEGA AWATAKA VIONGOZI WA KATA KUSHIRIKIANA KATIKA UTENDAJI

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AGAWA SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI 120 WANAOTOKA MAZINGIRA MAGUMU ISANGU

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI, ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    March 19, 2025
  • DC MBEGA ASISITIZA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI MZURI WA AMCOS MBOZI

    March 18, 2025
  • Ona vyote

Video

VIJANA MSITUMIE MIKOPO YA 10% KUBET MBOZI
video zaidi

Kurasa za Karibu

  • You Tube
  • Katiba

Tovuti Muhimu

  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

Watembeleaji wa kimataifa

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

writingMasterThesis

Eneo la ramani

Wasiliana nasi

    Mbozi

    Anuani: 3

    Simu: 025-2580272

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa