• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Mbozi District Council
Mbozi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango , Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Maliasili
    • Vitengo
      • Wakaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

WAHITIMU JKT WAHIMIZWA KUWA NA MATUMIZI SAHIHI YA MITANDAO MBOZI

Kurushwa hewani: May 6th, 2024

Mkuu wa Ukaguzi JWTZ, Meja Jenerali  Kahema Mzirai amewaasa wahitimu wa mafunzo ya awali ya JKT Kikosi cha Itaka kufanya matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii kuepuka mazara ya mitandao hiyo


Ametoa rai hiyo leo Jumatatu  Mei 6, 2024 wakati akifunga rasmi mafunzo ya ya awali katika Kikosi 845 KJ Itaka wilayani Mbozi mkoani Songwe


Meja Jenerali Mzirai amesema kuwa anawasa na  kuwakumbusha juu ya matumizi bora ya mitandao ya kijamii kutokana na kukua kwa teknolojia.


"Kutokana na utandawazi kila mtanzania anatamani kutumia simu janja ambazo zimekuwa na mambo mengi sana ambapo Kila mtu anatamani kujua nini kinachoendelea duniani


Lakini baadhi ya vijana wamekuwa hawana elimu ya kutosha juu ya matumizi sahihi ya mitandao hiyo, hivyo kutazama mambo ambayo ni kinyume kabisa na maadili na tamaduni za kiafrika" amesema na kuongeza;


"Natumia fursa hii kuwaasa, hatukatai kutumia mitandao hii ila ni vyema mkatumia kujipatia elimu ya mambo mema ambayo yatawasaidia katika maisha yenu binafsi na taifa kwa ujumla


Sote tunajua serikali imetunga sheria kudhibiti maudhui ya mtandaoni ambapo utakapo tumia au kuonyesha jambo ambalo ni kinyume na desturi zetu hatua Kali zitachukuliwa dhidi yako. Hivyo tuwe makini sana katika matumizi ya mitandao" amesisitiza

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA March 09, 2025
  • RASIMU PENDEKEZWA YA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2025. March 09, 2025
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DC MBEGA AWATAKA VIONGOZI WA KATA KUSHIRIKIANA KATIKA UTENDAJI

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AGAWA SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI 120 WANAOTOKA MAZINGIRA MAGUMU ISANGU

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI, ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    March 19, 2025
  • DC MBEGA ASISITIZA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI MZURI WA AMCOS MBOZI

    March 18, 2025
  • Ona vyote

Video

VIJANA MSITUMIE MIKOPO YA 10% KUBET MBOZI
video zaidi

Kurasa za Karibu

  • You Tube
  • Katiba

Tovuti Muhimu

  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

Watembeleaji wa kimataifa

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

writingMasterThesis

Eneo la ramani

Wasiliana nasi

    Mbozi

    Anuani: 3

    Simu: 025-2580272

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa