• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Mbozi District Council
Mbozi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango , Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Maliasili
    • Vitengo
      • Wakaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

TAKUKURU YAWAPA ZAWADI WANAFUNZI VINARA WA INSHA YA KUPINGA RUSHWA MKOA WA SONGWE

Kurushwa hewani: January 25th, 2024

Ili kuendeleza elimu ya mapambano ya rushwa, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Songwe, imekabidhi zawadi kwa wanafunzi walioibuka kidedea katika uandishi wa insha katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi.


Zawadi hizo kwa washindi hao zimetolewa leo  Alhamisi Januari 25, 2024 katika shule ya Sekondari Kisimani iliyoko Kata ya Mlowo.


Akizungumza katika hafla hiyo, Mkuu wa Dawati la kuzuia ruswa TAKUKURU,

Boniface Mwampashe amesemakuwa mashindano hayo ya uandishi wa insha yalihusiana na kuzuia rushwa katika jamii ambapo mada ilikuwa ni faida za kuzuia na kupambana na rushwa kwenye jamii na taifa kwa ujumla.


"Nafahamu wengi mnajua majukumu ya TAKUKURU lakini jukumu mojawapo ni kutoa elimu kwa umma kwa njia mbalimbali ikiwemo uandishi wa insha kwa wanafunzi ambapo wanafunzi wanapewa mada ya kujua wanafunzi Wana uelewa gani juu ya rushwa" amesema na kuongeza;


"Katika shindano hili shule 32 zilishirokinna wanafunzi 111 walishiriki kuandika insha na wanafunzi 3 wameibuka na ushindi ambao ni Emmanuel Origa kutoka Shule ya sekondari Kisimani, wapili Justine Ndambo sekondari ya Ihanda ambapo walipata alama sawa na Silivia Ilomo toka Sekondari ya Canan.


Mmoja wa washindi katika shindano hilo Emmanuel Origa ameishukuru TAKUKURU kwa kuanzisha vilabu vya kupinga rushwa mashuleni ambavyo vinasaidia wanafunzi kupata elimu juu ya masuala ya rushwa


"Tunaishukuru TAKUKURU kwa kuanzisha vilabu vya kupinga rushwa mashuleni tunapata elimu juu ya rushwa tunaahidi kuwa mfano bora katika jamii kutokana na elimu tulioipata kutoka katika vilabu hivi"


Kwa upande wake mwalimu wa shule ya Ihanda Ililo ambaye ni mlezi wa klabu ya wapinga rushwa katika shule hiyo amesema kuwa "Nimefurahi kwamba kupinga rushwa ni sehemu ya maisha yenu ninaimani mmeshatambua rushwa ni nini mnafahamu aina zake na madhara kwenu na kwa jamii,


Kila mmoja akafikishe elimu hii huko alikotoka kwa wazazi na kwawatu wanaowazunguka Ili wote wahusike na vita dhidi ya rushwa" amesisitiza


Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA March 09, 2025
  • RASIMU PENDEKEZWA YA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2025. March 09, 2025
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DC MBEGA AWATAKA VIONGOZI WA KATA KUSHIRIKIANA KATIKA UTENDAJI

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AGAWA SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI 120 WANAOTOKA MAZINGIRA MAGUMU ISANGU

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI, ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    March 19, 2025
  • DC MBEGA ASISITIZA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI MZURI WA AMCOS MBOZI

    March 18, 2025
  • Ona vyote

Video

VIJANA MSITUMIE MIKOPO YA 10% KUBET MBOZI
video zaidi

Kurasa za Karibu

  • You Tube
  • Katiba

Tovuti Muhimu

  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

Watembeleaji wa kimataifa

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

writingMasterThesis

Eneo la ramani

Wasiliana nasi

    Mbozi

    Anuani: 3

    Simu: 025-2580272

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa