• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Mbozi District Council
Mbozi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango , Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Maliasili
    • Vitengo
      • Wakaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

TAKUKURU: WATUMISHI HAKIKISHENI MNASIMAMIA VIZURI MIRADI YA MAENDELEO SONGWE

Kurushwa hewani: January 31st, 2024

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Songwe imetoa wito kwa watumishi wenye dhamana ya kusimamia miradi ya maendeleo kuhakikisha wanasimamia kwa ufanisi.


Wito huo umetolewa leo Jumatano Januari 31, 2023 na Naibu Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Songwe, Mohamed Shariff wakati wa mkutano na waandishi wa habari katika ofisi za Taasisi hiyo.


 Shariff amesemakuwa ili miradi ya Serikali iweze kukamili kwa wakati na kufikia viwango vya ubora unaohitajika na kuendana na thamani ya fedha iliyotolewa na Serikali wenye dhamani ya kusimamia wahakikishe wana simamia kikamilifu.


"Tupo hapa leo kuuhabarisha umma kuhusiana na utendaji kazi wa ofisi ya TAKUKURU Mkoa wa Songwe kwa kipindi Cha Oktoba mpaka Disemba 2023" amesema Shariff


Ameongeza kuwa katika kipindi hicho uelimishaji dhidi ya rushwa umefanyika kupitia semina 43, uimarishaji wa klabu 52 za wapinga rushwa, vipindi 5 vya radio, na mikutano 56 ya hadhara.


Vilevile katika kutekeleza programu ya TAKUKURU Rafiki ambapo kero zaidi ya 230 ziliibuliwa na kati ya kero hizo 191 ziliweza kutatuliwa na zilizobaki zinaendelea kushughulikiwa


Ameongeza kuwa TAKUKURU Mkoa wa Songwe ilishiriki maadhimisho ya Siku ya Maadili na Haki za binadamu ambapo taasisi hiyo ilishiriki maadhimisho hayo kwa kupanda miti 1200 katika shule ya msingi Isangu wilayani Mbozi


Aidha, Naibu Mkuu huyo wa TAKUKURU Mkoa wa Songwe amesema taasisi hiyo imejipanga kuendelea kutoa elimu dhidi ya rushwa, kufuatilia utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kufanya ufuatiliaji wa utekelezaji wa mapendekezo kwenye uchambuzi wa mifumo na rasilimali za umma

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA March 09, 2025
  • RASIMU PENDEKEZWA YA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2025. March 09, 2025
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DC MBEGA AWATAKA VIONGOZI WA KATA KUSHIRIKIANA KATIKA UTENDAJI

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AGAWA SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI 120 WANAOTOKA MAZINGIRA MAGUMU ISANGU

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI, ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    March 19, 2025
  • DC MBEGA ASISITIZA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI MZURI WA AMCOS MBOZI

    March 18, 2025
  • Ona vyote

Video

VIJANA MSITUMIE MIKOPO YA 10% KUBET MBOZI
video zaidi

Kurasa za Karibu

  • You Tube
  • Katiba

Tovuti Muhimu

  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

Watembeleaji wa kimataifa

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

writingMasterThesis

Eneo la ramani

Wasiliana nasi

    Mbozi

    Anuani: 3

    Simu: 025-2580272

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa