• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Mbozi District Council
Mbozi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango , Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Maliasili
    • Vitengo
      • Wakaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

RC SONGWE ATOA MAAGIZO KWA WASAMBAZAJI DAWA, VIFAA TIBA

Kurushwa hewani: February 7th, 2023

Songwe. Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Waziri Kindamba ametoa wito kwa washitiri walioingia mkataba na mkoa huo kuwa wanahakikisha wanasambaza kwa wakati mahitaji yanayotakiwa kusambazwa katika halmashauri huku wakizingatia ubora na thamami ya dawa.

RC Kindamba ametoa wito huo leo Jumanne Januari 7, 2023 wakati wa hafla ya kusaini mikataba ya washitiri watakaosambaza dawa na vifaa tiba katika mkoa huo.

Mkuu wa mkoa huyo amesema kuwa katika kipindi cha Julai hadi Desemba 2023, mkoa umepokea dawa na bidhaa nyingine za afya zenye thamani ya shilingi bilioni 2.2 kutokana na fedha za ruzuku ya Serikali kupitia Bohari ya Dawa (MSD) pamoja na mapokezi ya vifaa tiba vyenye thamani ya shilingi bilioni 1.3.

Pia, RC Kindamba amebainisha kuwa  katika kipindi cha Julai hadi Desemba 2023 Serikali imetoa jumla ya shilingi 1.6 kwaajili ya ununuzi wa vifaa tiba muhimu kwa lengo la kuhakikisha miundombinu ya kutolea huduna za afya na zahanati mara itakapokamilika ianze kutoa huduma zinazokusudiwa

Ameongeza kuwa kwa mujibu wa mwongozo huo mkoa unatakiwa kuwa na washitiri wanne au pungufu.

Ameeleza kuwa kutokana na taratibu,  mkoa umekamilisha mchakato wa kupata washitiri wawili ambao ni Astra Pharm (T) Ltd ambaye atahusika kusambaza dawa na  vifaa tiba, na mwingine Anudha Ltd ambaye atahusika na kusambaza vifaa vya maabara na mifupa.

Amewaagiza wakurugenzi wa halmashauri zote kusimamia mapokezi ya vifaa hivyo kutoka kwa washitiri na kuongeza kuwa katika suala za usimamizi watanzania wengi hatuwi makini.

"Mama Samia anahangaika analeta fedha nyingi ili huduma bora ziwafikie wananchi wake naomba tukalisimamie hili" amesema

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA March 09, 2025
  • RASIMU PENDEKEZWA YA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2025. March 09, 2025
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DC MBEGA AWATAKA VIONGOZI WA KATA KUSHIRIKIANA KATIKA UTENDAJI

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AGAWA SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI 120 WANAOTOKA MAZINGIRA MAGUMU ISANGU

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI, ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    March 19, 2025
  • DC MBEGA ASISITIZA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI MZURI WA AMCOS MBOZI

    March 18, 2025
  • Ona vyote

Video

VIJANA MSITUMIE MIKOPO YA 10% KUBET MBOZI
video zaidi

Kurasa za Karibu

  • You Tube
  • Katiba

Tovuti Muhimu

  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

Watembeleaji wa kimataifa

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

writingMasterThesis

Eneo la ramani

Wasiliana nasi

    Mbozi

    Anuani: 3

    Simu: 025-2580272

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa