• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Mbozi District Council
Mbozi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango , Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Maliasili
    • Vitengo
      • Wakaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

RC SONGWE ATEKELEZA AGIZO LA WAZIRI MKUU LA KUKUTANA NA WAFANYABIASHARA VWAWA

Kurushwa hewani: November 27th, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mheshimiwa Dkt. Francis Michael ametekeleza agizo la Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Kassim Majaliwa la kuongea na wafanyabiashara wa stendi ya Malori katika mji wa Vwawa Wilayani Mbozi na kufikia muafaka wa ulipaji wa kodi za vibanda.

Dk Michael ametekeleza agizo hilo leo Jumatatu Novemba 27, 2023 ambapo amekutana na wafanyabiashara hao katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi.

Akizungumza katika kikao hicho Mkuu wa Mkoa wa Songwe amesema kuwa Serikali ina nia njema ya kuwasaidia wananchi wake hivyo wawe na imani na Serikali yao.

 Baada ya kusikiliza hoja za wafanyabiashara hao, kikao hicho kilitoka na maamuzi ya kila mfanyabiashara kulipa Sh20, 000 kwa mwezi kwa kila kibanda.

 Dkt Michael ametoa maelekezo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, Abdallah Nandonde kuwa katika bajeti ya 2024/2025 Halmashauri ihakikishe inatenga fedha kwaajili ya ujenzi wa miundombinu ya kisasa katika vibanda hivyo ili kuleta sura nzuri ya mji wa Vwawa.

"Katika bajeti ya mwakani vibomolewe vibanda vijengwe upya na tutaingia mikataba upya, kwasababu saivi ni vurugu hapa kuna watu wanalipa zaidi, na kuna watu wanaoitwa wenye vibanda hawataki tuongeze bei.

 Sasa ndio maana nasema nanyi mpate kidogo lakini mwakani pale vibanda vitavunjwa tunaingia mkataba upya" amesisitiza Amesema kuwa zitatangazwa fomu na watu watajaza ili kutuma maombi na watu wote watafanyiwa tathmini na wanaofanya biashara katika maeneo yale watapewa kipao mbele.

"Wale wanaofanya biashara pale watapewa kipaombele, na mhakikishe vibanda hivyo vinakua vikubwa na vyemye ubora" ameagiza

 Awali wafanyabiashara hao walikua wakichangia Sh7,000 ambayo ilionekana Halmashauri inapoteza mapato mengi kwa kutoza kiasi ambacho hakiendani na uhalisia wa bei ya vibanda kwa sasa ambapo baadaye Halmashauri ilipendekeaza Sh30,000 kwa kila kibanda.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA March 09, 2025
  • RASIMU PENDEKEZWA YA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2025. March 09, 2025
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DC MBEGA AWATAKA VIONGOZI WA KATA KUSHIRIKIANA KATIKA UTENDAJI

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AGAWA SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI 120 WANAOTOKA MAZINGIRA MAGUMU ISANGU

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI, ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    March 19, 2025
  • DC MBEGA ASISITIZA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI MZURI WA AMCOS MBOZI

    March 18, 2025
  • Ona vyote

Video

VIJANA MSITUMIE MIKOPO YA 10% KUBET MBOZI
video zaidi

Kurasa za Karibu

  • You Tube
  • Katiba

Tovuti Muhimu

  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

Watembeleaji wa kimataifa

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

writingMasterThesis

Eneo la ramani

Wasiliana nasi

    Mbozi

    Anuani: 3

    Simu: 025-2580272

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa