SONGWE. Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Waziri Kindamba amewaagiza wakurugenzi wa halmashauri za mkoa huo wasimamie fedha zinazokusanywa zipelekwa benki ili kuepuka wakusanyaji kuzitumia fedha hizo.
Mkuu huyo wa mkoa ametoa wito huo leo Jumanne Februari 7, 2023 wakati wa kikao cha tathmini za utendaji wa Halmashauri za mkoa wa Songwe.
RC Kindamba ameongeza kuwa utekelezaji hafifu wa vikao vya kisheria vinavyosababisha malalamiko mengi ambapo vingeshughulikiwa chini kabisa.
Ametaja moja ya kazi ya kiongozi katika watu anaowaongoza ni kisikiliza na kutatua kero kwa wakati zinazowakabili wananchi.
Ametaja kazi nyingine kuwa ni kusimamia ukusanyaji wa mapato, ulinzi na usalama.
"Tuendelee kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan kwa kufanya kazi na kusimamia kwa nguvu eneo la ukusanyaji wa mapato"
Amewaagiza wakurugenzi wa halmashauri kusimamia kwa weledi miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika maeneo yao ili iweze
Mbozi
Anuani: 3
Simu: 025-2580272
Simu ya kiganjani:
Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz
Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa