• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Mbozi District Council
Mbozi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango , Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Maliasili
    • Vitengo
      • Wakaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

RC Kindamba aahidi ushirikiano na wamachinga, Songwe

Kurushwa hewani: February 1st, 2023

SONGWE. Mkuu wa Mkoa wa Songwe (RC), Waziri Waziri Kindamba ameahidi kuwa ofisi yake itatoa ushirikiano kwa wafanyabiashara ndogondogo maarufu  machinga katika mkoa huo kwani wao ndio injini ya uchumi katika jamii.

RC Kindamba ametoa ahadi hiyo wakati akikabidhi hati ya kiwanja ambacho kitajengwa ofisi za wafanyabiashara hao.

Wafanyabiashara hao wamekabidhia hati ya kiwanja hicho ikiwa ni utekelezaji wa mpango wa Serikali wa  kuwajengea miundomninu na mazingira rafiki wafanyabiashara hao baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutoa Sh10 milioni kwa kila mkoa kwa ajili ya ujenzi wa ofisi za machinga.

Akikabidhi hati hiyo, RC akindamba amesema " Mheshimiwa Rais Samia ameamua kutenga Sh10 milioni kila mkoa ili kuwajengea wamachinga ofisi kwasababu ni mamilionea wajao,

"Ofisi yenu itakuwa hapa jirani na ofisi ya mkuu wa mkoa ili iwe rahisi kuja kupewa msaada mtakapokua mmekwama" amesema mkuu huyo wa mkoa.

"Sisi kama mkoa tutaongeza nguvu katika kiasi hicho mlichotengewa na mama ili ofisi iwe ya kisasa zaidi" ameahidi RC Kindamba na kuongeza;

Sisi kama mkoa tumejipanga kuwa bega kwa bega na ninyi kwani hata mbuyu ulianza kama mchicha".

Ameeleza kuwa kazi ya Serikali kuwawekea mazingira mazuri  wamachinga hao ili kuepusha migogoro na kuwangunisha  na huduma za kibenki.

Kwa upande wake Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe (RAS), Happiness Seneda amewapongeza wamachinga kwa kupewa hati hiyo huku akiahidi usimamizi wa ujenzi wa ofisi hiyo.

Katibu tawala huyo amebainisha kuwa "Hati hii iliyo na miaka 99 ni hati iliyoandikwa Mbozi kwakuwa ndio makao makuu ya  mkoa".

Akizungumza baada ha kukabidhiwa hati hiyo kwa niaba ya wafanyabiashara hayo, mwenyekiti wa Umoja wa Wamachinga Mkoa wa Songwe, Kelvin Kyando amemshukuru Rais Samia kwa kuendelea kuwajali na kuahidi kulipa fadhila 2025.


Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA March 09, 2025
  • RASIMU PENDEKEZWA YA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2025. March 09, 2025
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DC MBEGA AWATAKA VIONGOZI WA KATA KUSHIRIKIANA KATIKA UTENDAJI

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AGAWA SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI 120 WANAOTOKA MAZINGIRA MAGUMU ISANGU

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI, ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    March 19, 2025
  • DC MBEGA ASISITIZA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI MZURI WA AMCOS MBOZI

    March 18, 2025
  • Ona vyote

Video

VIJANA MSITUMIE MIKOPO YA 10% KUBET MBOZI
video zaidi

Kurasa za Karibu

  • You Tube
  • Katiba

Tovuti Muhimu

  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

Watembeleaji wa kimataifa

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

writingMasterThesis

Eneo la ramani

Wasiliana nasi

    Mbozi

    Anuani: 3

    Simu: 025-2580272

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa