Mbunge wa Mbozi George Mwenisongole amesema kuwa wakulima wengi wa zao la kahawa wanaumizwa kwa kiasi kikubwa cha makato yaliyopo kwenye zao la kahawa wakulima wanashindwa kufaidika.
Hayo amesema leo Jumanne 14, 2023 katika ziara ya waziri mkuu mkoani Songwe, ambapo ni ziara ya kukagua miradi inayotekelezwa na serikali
Mbozi
Anuani: 3
Simu: 025-2580272
Simu ya kiganjani:
Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz
Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa