• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Mbozi District Council
Mbozi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango , Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Maliasili
    • Vitengo
      • Wakaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

MRADI WA MNUFAIKA WA TASAF UMEKUWA TEGEMEO KWA WANAKIJIJI

Kurushwa hewani: June 1st, 2021

Mradi wa Mnufaika wa TASAF Umekuwa Tegemeo kwa Wanakijiji.MBOZI: 

Mradi wa duka la mahitaji ya Nyumbani unaoendeshwa na Olida Mwamboneke mnufaika wa TASAF umekuwa tegemeo kwa wakazi wa kijiji cha Zelezeta katika kujipatia mahitaji mbalimbali ya Nyumbani.Mwamboneke amesema baada ya kupata pesa 32,000 ya TASAF aliamua kuanza kuuza mafuta ya kupikia kwa kuanza na ndoo ya lita 10 kisha kuuza kwa kupima ya shilingi 100 hadi sasa ananunua ndoo ya lita 20 ya mafuta.Kwa sasa nauza sabuni, sukari, nyanya, chumvi, soda na mahitaji mhimu ya Nyumbani kwa hapa kijijini yanapatikana dukani alieleza mnufaika wa TASAF, Mwamboneke."Kilichonivutia kuanza Biashara hii niliona baada ya kuchukua fedha za TASAF 32,000 mimi na majirani zangu tukawa tunatembea umbali wa mita 300 hadi 500 kufuata mahitaji madogo kama mafuta ya kula, sabuni na nyanya hali iliyopelekea mimi kuja na wazo la kuanza kuuza mahitaji ya Nyumbani.Mkazi wa kijiji cha Zelezeta na jirani wa mnufaika wa TASAF, Saimon Msukwa  anamshukuru mnufaika kwa kuwafupishia muda wa kutembea umbali mrefu kufuata mahitaji na ametoa wito kwa wanufaika wengine ni vyema wawe na lengo la kuwekeza kwenye miradi ya kuwagusa jamii kama alivyofanya, Mwamboneke.Pamoja na kuwa na duka, mnufaika pia ameweza kulima mahindi ekari 1 kwa kutumia mbegu ya kisasa na anategemea kupata gunia zaidi ya 18, amelima maharagwe anategemea kupata debe 2 na amefuga Nguruwe wa 3.Bwn. Salim Bakari mlezi wa Kata ya Igamba kwa TASAF amesema kwa kijiji cha Zelezeta chenye wanufaika 67 na Mwamboneke amekuwa kielelezo kizuri kwa wanufaika wengine.Mtendaji wa kijiji cha Zelezeta, Tusajigwe Mwakyembe amesema wanufaika wa TASAF kuwa na uhakika wa milo 3 kwa siku wamekuwa chachu ya maendeleo kwenye kijiji na Serikali ya kijiji tumekuwa mstari wa mbele wa kuwapatia elimu juu ya matumizi sahihi ya fedha wanazopata ili yalenge malengo yanayokusudia ya kuwakwamua katika umasikini.Mwamboneke aliachana na mume wake na anaishi katika Nyumba ya Familia na ana watoto wa 2 ambao wanapata mahitaji ya Shule kupitia mafanikio ya TASAF aliyopata mama yao.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA March 09, 2025
  • RASIMU PENDEKEZWA YA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2025. March 09, 2025
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DC MBEGA AWATAKA VIONGOZI WA KATA KUSHIRIKIANA KATIKA UTENDAJI

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AGAWA SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI 120 WANAOTOKA MAZINGIRA MAGUMU ISANGU

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI, ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    March 19, 2025
  • DC MBEGA ASISITIZA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI MZURI WA AMCOS MBOZI

    March 18, 2025
  • Ona vyote

Video

VIJANA MSITUMIE MIKOPO YA 10% KUBET MBOZI
video zaidi

Kurasa za Karibu

  • You Tube
  • Katiba

Tovuti Muhimu

  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

Watembeleaji wa kimataifa

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

writingMasterThesis

Eneo la ramani

Wasiliana nasi

    Mbozi

    Anuani: 3

    Simu: 025-2580272

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa