Kutokana na changamoto za upatikanaji wa huduma za afya katika mji wa Mlowo mbunge wa viti maalum mkoa wa Songwe Juliana Shonza ameomba kujengwa kituo cha afya katika eneo la Mji wa Mlowo kwani kwa sasa wana tibiwa katika Zahanati angali kuna idadi kubwa ya watu.
Ombi hilo limetolewa leo Jumanne 14,2023 wakati wa ziara ya waziri mkuu katika mkoa wa Songwe ambayo ni ziara ya siku tatu.
Mbozi
Anuani: 3
Simu: 025-2580272
Simu ya kiganjani:
Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz
Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa