Mbunge wa jimbo la Vwawa Japheti Hasunga ameiomba serikali kuipatia halmashauri ya wilaya ya Mbozi kuwa Manispaa ili kusogeza huduma kwa wananch wake, vilevile mbunge huyo ameiomba serikali kujenga stendi kubwa yenye hadhi ya mkoa, na pia ameiomba serikali kujenga soko kubwa la mazao kutokana na wananchi wa mkoa huo kuwa ni wakulima
Maombi hayo yametolewa leo Jumanne 14,2023 wakati wa ziara ya waziri mkuu katika mkoa wa Songwe ambayo ni ziara ya siku tatu.
Mbozi
Anuani: 3
Simu: 025-2580272
Simu ya kiganjani:
Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz
Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa