• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Mbozi District Council
Mbozi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango , Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Maliasili
    • Vitengo
      • Wakaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

HALMASHAURI YATOA MAAGIZO SHULE AMBAZO HAZITOI CHAKULA, MBOZI

Kurushwa hewani: February 23rd, 2023

MBOZI. Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, Danny Tweve ameziagiza shule za msingi na sekondari ambazo hazijaanza kutoa chakula kwa wanafunzi katika wilaya hiyo kuanza mara moja kwa kuwa bila kufanya hivyo ni kukiuka maagizo ya Serikali.


Maelekezo hayo yametolewa jana Jumatano Februari 22, 2022 wakati wa kikao cha lishe ambapo idara na taasisi mbalimbali zilikuwa zikitoa taarifa za utekelezaji wa miakakati waliojiwekea katika kikao kilichopita.


Katika kikao hicho kaimu mkurugenzi huyo amesema kuwa idara ya elimu msingi na sekondari walipewa agizo la kuanzisha clabu za lishe mashuleni ili kuinua kiwango cha lishe mashuleni ili kutokomeza tatizo la udumavu.


"Kulikuwa na maelekezo shule zote za msingi na sekondari wanafunzi lazima wapewe chakula shuleni;


"Naamini hilo sio ombi ni Sheria inataka hivyo na zile Sheria ndogondogo zilizowekwa na vijiji zifuatwe ili kutokomeza suala la udumavu" amesisitiza


Ameongeza kuwa "Tuongeze usimamizi shirikishi kwa yale maeneo ambako hizi program za lishe zinatekelezwa" amesisitiza


Mwekahazina wa Halmashauri hiyo, Emmanuel Masele amesema kuwa "Katika kuhakikisha shule zote zinapata chakula tungepata mrejesho kutoka kwenye ngazi ya kijiji na kata ili kuleta taarifa ya lishe katika maeneo yao hasa mashuleni" amesema


Kwa upande wake afisa lishe wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, Zainab Mkundawantu amesema kuwa taarifa zipo na zinawasilishwa kwa maandishi.


"Katika kata na vijiji tunapokea taarifa hizi na tunazifanyia kazi" amesema


Naye kaimu afisa elimu msingi Amani Malima amesema wameshawaagiza walimu wakuu kwamba kila shule inatakiwa kulima bustani ya mbogamboga.



Mratibu wa mradi wa kibowavi Martha Mchaki kutoka Shirika la ADP Mbozi mradi uliofadhiliwa na umoja wa ulaya kupitia program ya Agri - connect unaotekelezwa kwa uhamasishaji wa lishe mashuleni na kusaidia upandaji miti ya matunda na bustani za mbogamboga amesema "Tunasaidia kaya zenye watoto wenye utapia mlo kwa kuwapatia mbegu za mbogamboga za majani na mbegu za matunda"

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA March 09, 2025
  • RASIMU PENDEKEZWA YA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2025. March 09, 2025
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DC MBEGA AWATAKA VIONGOZI WA KATA KUSHIRIKIANA KATIKA UTENDAJI

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AGAWA SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI 120 WANAOTOKA MAZINGIRA MAGUMU ISANGU

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI, ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    March 19, 2025
  • DC MBEGA ASISITIZA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI MZURI WA AMCOS MBOZI

    March 18, 2025
  • Ona vyote

Video

VIJANA MSITUMIE MIKOPO YA 10% KUBET MBOZI
video zaidi

Kurasa za Karibu

  • You Tube
  • Katiba

Tovuti Muhimu

  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

Watembeleaji wa kimataifa

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

writingMasterThesis

Eneo la ramani

Wasiliana nasi

    Mbozi

    Anuani: 3

    Simu: 025-2580272

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa