• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Mbozi District Council
Mbozi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango , Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Maliasili
    • Vitengo
      • Wakaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

DK MOLLEL ATOA MAAGIZO VIONGOZI HOSPITALI YA MKOA WA SONGWE, WILAYA YA MBOZI

Kurushwa hewani: February 16th, 2023

MBOZI. Naibu waziri wa Afya, Dkt. Godwin Mollel amewataka viongozi wa hospitali ya  mkoa wa Songwe na wilaya ya Mbozi kuboresha huduma za hospitali zao ili waweze kupata wateja wengi hata wanaokwenda hospitali binafsi kwa kukosa huduma bora.


Dk Mollel amesema hayo jana Jumatano Februari 15, 2023 wakati wa ziara ya Naibu waziri huyo akiwa ameambatana na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ikiwa na maagizo ya Waziri Mkuu aliyepaswa kutembelea hospitali hiyo baada ya kupata dharura, ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kufanya ziara katika hospitali hizo.

Katika ziara hiyo Naibu waziri huyo amesema kuwa hajaja kuwahukumu lakini amekuja kuwakumbusha watumishi wa afya majukumu yao

‘’Hongereni kwa kufanya kazi vizuri sehemu nyingi wanajisahau kama wapo chini ya RMO, na Pia DC katika wilaya ndio mwenye wizara zote muelewe ukielewa utakaa vizuri na serikari’’ alipongeza


Hata hivyo hakikisheni ripoti za Hospitali zinafika kwa mkuu wa mkoa aweanajua nini kinaendelea msifanye vitu kimya kimya hakikisheni vitu vinakaa sawa RMO wasimamie vizuri iliwaweze kufanya kazi hii kwa uadirifu inatakiwa tubadilike jitahidini


Kama hospitali mpya, mkoa mpya nawapongeza kwa huduma nzuri na makusanyo mnapata hela nyingi kwa mwezi mfanye vizuri pia katika matumizi ya fedha.


Kwa upande wa kukamilisha ujenzi Naibu Waziri Mollel ametaka wakandarasi waliopewa kazi hiyo kumaliza kazi kwa wakati na endapo wanapewa kazi kwa sharti la kutoa marejesho kwa waliwapa kazi watoe taarifa

‘’ Kuna wakandarasi wengine wanashindwa kumaliza kazi kisa marejesho ndio maana kila siku miradi inapanda bei tuambieni’’


Ripoti nitakayo poleka niyale makaratasi mlio jikomiti  malizieni kazi


Naibu waziri huyo amemwagiza  mganga mkuu wa wilaya ya Mbozi kuwasimamia  vizuri watu wake  ambao ni Incharge, Katibu wa afya , Mhasibu, Mfamasia


Ameongeza kuwa akiondoka hapo anatamani  kuona mabadiliko mazuri yanatokea  na kusema kuwa sisi lengo letu mfanye vizuri ilimkuu wa wilaya, mkurugenzi na watumishi wote mtimize majukumu yenu bila matatizo yoyote.


Hata hivyo kwa upandewake mfamasia wa hosptiali hiyo Jeremiah Luka ameomba kwa Naibu Waziri wa afya kutanuliwa wigo wa bajeti ili waweze kuagiza dawa katika hospitali hiyo kutokana na hospitali hiyo ilikabidhiwa na mkoa bila kuwa na bajeti ya uendeshaji .


Hata hivyo mwekahazina wa Halmashauri ya wilaya ya Mbozi  Emmanuel Masele amefafanua kuwa, kama alivyo eleza mfamasia wakati wanavyopokea hospitali hawakuwa na bajeti kitendo kilichopelekea kuomba saplimentari bajeti ndani ya bajeti ya user fee ambapo kiasi cha shilingi 187 milioni zilifanikiwa kupatikana  wakati uhalisia wa makusanyo ni shilingi zaidi ya milioni 400 hivyo hospitali inakusanya bilakuwa na vifungu vya kufanya malipo ya dawa, kwa sasa tupo kwenye mchakato wa bajeti 2023-24 tumezingatia vifungu vya hospitali hii.


Kwa upande wake mkuu wa wilaya ya Mbozi, Esther Mahawe amemshukuru na kumpongeza Naibu Waziri wa afya kwa kuwafungua macho na kusema kuwa tulipo ambiwa tunamapungufu tujirekebishe

‘’Sasa twendeni tukajipange kuna changamoto hata yale Malalamiko kwa ya wananchi kwa waziri mkuu inawezekana ni kweli  inawezekana upo sahihi wewe sio mwizi lakini the way unavyo weka mambo yako unasababisha mashaka yasio ya lazima kwa hiyo kila mtu afanye kazi yake’’


Tuweze kuwahudumia wananchi inauma sana leo hii  Rais akisikia wananchi wake hawapati dawa wakati kila siku fedha zinatolewa kwaajili ya dawa

‘’Mimi naomba sana kulingana na kile ambacho mmeelekezwa na Naibu Waziri twendeni tukakifanyie kazi’’ amesisitiza


Nakuagiza DMO mbele ya Naibu waziri uwe unaripoti kwenye kamati ya ulinzi na usalama kila tutakapo kuwa na kikao cha usalama utafahamishwa ili utuletee mapato na matumizi na changamoto zinazoikumba hospitali ya wilaya ili wote tuwe na uelewa wa pamoja.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA March 09, 2025
  • RASIMU PENDEKEZWA YA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2025. March 09, 2025
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DC MBEGA AWATAKA VIONGOZI WA KATA KUSHIRIKIANA KATIKA UTENDAJI

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AGAWA SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI 120 WANAOTOKA MAZINGIRA MAGUMU ISANGU

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI, ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    March 19, 2025
  • DC MBEGA ASISITIZA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI MZURI WA AMCOS MBOZI

    March 18, 2025
  • Ona vyote

Video

VIJANA MSITUMIE MIKOPO YA 10% KUBET MBOZI
video zaidi

Kurasa za Karibu

  • You Tube
  • Katiba

Tovuti Muhimu

  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

Watembeleaji wa kimataifa

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

writingMasterThesis

Eneo la ramani

Wasiliana nasi

    Mbozi

    Anuani: 3

    Simu: 025-2580272

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa