• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Mbozi District Council
Mbozi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango , Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Maliasili
    • Vitengo
      • Wakaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

DED MBOZI AISHUKURU TaFF KWA KUTOA RUZUKU YA VIFAA KWA VIKUNDI 10 WILAYA YA MBOZI

Kurushwa hewani: January 2nd, 2024

DED MBOZI AISHUKURU TaFF KWA KUTOA RUZUKU YA VIFAA KWA VIKUNDI 10


Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, Abdallah Nandonde ameushukuru Mfuko wa Misitu Tanzania kwa kuwapatia ruzuku ya vifaa vikundi 10 katika Halmashauri hiyo.


Nandonde ametoa shukrani hizo leo Jumanne Junuari 2, 2024, wakati wa hafla ya ugawaji wa vifaa kwaajili ya kuwezesha vikundi vikundi vya ufugaji nyuki kwa kutumia teknolojia ya kisasa kwa lengo la kuboresha Maisha ya jamii hiyo.


Akizungumza katika hafla hiyo Nandonde amesema kuwa kuna kasumba ya Watanzania wengi wakipewa vitu vya ruzuku hawafanyi vizuri na kufanya lengo la Serikali lililokusudiwa kutofikiwa.


‘’Leo tumepewa vifaa hivi nendeni mkafanyie kazi iliyokusudiwa kwa ufanisi mkubwa ili kuweza kujiingizia kipato, vifaa hivi msiviuze na mkitumia vizuri vitaleta tija kwasababu masoko ya asali yapo" amesema


Kwa upande wake Katibu Tawala Mfuko wa Hifadhi ya Misitu  Tanzania Dkt.Tuli Msuya amesema kuwa kutokana na kuwakabidhi vifaa hivyo ni matarajio ya Serikali kuona wanakikundi hao kuanza kuzalisha asali kwa wingi na bahati nzuri soko la asali lipo jirani katika mji wa Tunduma


‘’Serikali inaingia gharama kubwa kwaajili ya ununuzi wa vifaa hivyo, nomba msiende kubadilisha matumizi ya vifaa hivyo’’ amesesitiza


Dkt. Msuya amesema mradi ulikuwa unatekelezwa kawa awamu mbili ambapo awamu ya kwanza wanakikundi walipewa mizinga 400, na kwa awamu ya pili wamekabidhiwa mavazi na vifaa vingine vya ufugaji nyuki ikiwemo bomba la kufukiza moshi, Mabuti, glovu, tochi na mashine mbili kwaajili ya kuchujia asali.


Kwa upande wake mmoja wa wanakikundi hao Absolom amesema kuwa kutokana na kupewa vifaa hivyo wataweza kuongeza mizinga mingine na kuzalisha kwa wingi asali na pia watahamasika kupanda miti mingine kwa wingi ili kuhifadhi misitu.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA March 09, 2025
  • RASIMU PENDEKEZWA YA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2025. March 09, 2025
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DC MBEGA AWATAKA VIONGOZI WA KATA KUSHIRIKIANA KATIKA UTENDAJI

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AGAWA SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI 120 WANAOTOKA MAZINGIRA MAGUMU ISANGU

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI, ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    March 19, 2025
  • DC MBEGA ASISITIZA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI MZURI WA AMCOS MBOZI

    March 18, 2025
  • Ona vyote

Video

VIJANA MSITUMIE MIKOPO YA 10% KUBET MBOZI
video zaidi

Kurasa za Karibu

  • You Tube
  • Katiba

Tovuti Muhimu

  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

Watembeleaji wa kimataifa

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

writingMasterThesis

Eneo la ramani

Wasiliana nasi

    Mbozi

    Anuani: 3

    Simu: 025-2580272

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa