• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Mbozi District Council
Mbozi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango , Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Maliasili
    • Vitengo
      • Wakaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

DC MBEGA AZINDUA KAMPENI YA UPANDAJI WA MITI MWAKA 2025

Kurushwa hewani: February 1st, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Mhe. Hamad Mbega amezindua kampeni maalumu ya upandaji miti katika Wilaya ya Mbozi kwa mwaka 2025.


Uzinduzi huo kiwilaya umefanyika leo Jumamosi katika Shule ya Msingi Ifungo iliyopo katika mji mdogo wa Mlowo


Katika uzinduzi huo, zaidi ya miti 1500 imepandwa ikiwa ni kuashiria uzinduzi wa kampeni hiyo.


Akizungumza baada ya uzinduzi huo, Mhe Mbega amesema lengo la Taifa ni kila wilaya kupanda miti milioni 1.5 kwa mwaka na lengo la mkoa ni kupenda miti zaidi ya miilioni 2 ambapo Wilaya hiyo inatarajia kupanda zaidi ya miti milioni mbili kwa mwaka.


"Upandaji  miti siku ya leo ni utekelezaji wa Maelekezo ya Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania juu ya utekelezaji wa hifadhi ya mazingira. Aidha Ilani ya Chama cha Mapinduzi ya Mwaka 2020-2025 ibara ya 235 (a) imeelekeza kukabiliana na uharibifu wa mazingira na mabadiliko ya tabia nchi ambapo kila Halmashauri inatakiwa kupanda miti isiyopungua milioni 1.5 kwa mwaka" amesema na kuongeza


"Halmashauri yetu kufikia Januari  2025 imefanikiwa kupanda jumla ya miti 56,433.

Nimejulishwa kuwa shule ya Msingi Ifungo ni moja wapo ya shule ambayo ipo kwenye eneo linalokumbwa na upepo mkali.  Hali hii inafanya shule hii kuwa na hali hatarishi ya kukumbwa na janga la upepo ambalo linaweza kupelekea uharibifu wa  miundombinu ya shule na kuathiri  elimu, afya  kwa watumishi na wanafunzi kwa ujumla" amesema

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA March 09, 2025
  • RASIMU PENDEKEZWA YA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2025. March 09, 2025
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DC MBEGA AWATAKA VIONGOZI WA KATA KUSHIRIKIANA KATIKA UTENDAJI

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AGAWA SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI 120 WANAOTOKA MAZINGIRA MAGUMU ISANGU

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI, ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    March 19, 2025
  • DC MBEGA ASISITIZA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI MZURI WA AMCOS MBOZI

    March 18, 2025
  • Ona vyote

Video

VIJANA MSITUMIE MIKOPO YA 10% KUBET MBOZI
video zaidi

Kurasa za Karibu

  • You Tube
  • Katiba

Tovuti Muhimu

  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

Watembeleaji wa kimataifa

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

writingMasterThesis

Eneo la ramani

Wasiliana nasi

    Mbozi

    Anuani: 3

    Simu: 025-2580272

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa