• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Mbozi District Council
Mbozi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango , Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Maliasili
    • Vitengo
      • Wakaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

DC MAHAWE AWATAKA WANANCHI WA IHANDA KUWA WATULIVU WAKISUBIRI FIDIA MBOZI

Kurushwa hewani: February 15th, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Mhe. Esther Mahawe amewataka wananchi wa Kata ya Ihanda Kijiji Cha Iboya Wilayani humo kuwa watulivu kusubiri ulipwaji wa fidia kupisha ujenzi wa Kituo cha Ukaguzi wa pamoja


Mhe. Mahawe amesema hayo leo Alhamisi Februari 15, 2024 alipo kutana na wananchi wa eneo hilo kusikiliza kero yao


"Nimekuja kuwasikiliza, pesa inatafutwa na Serikali na kila mtu atapata haki yake, na naomba leo iwe Siku ya mwisho kutoa elimu, ifike mahali tuelewane" amesema DC Mahawe na kuongeza;


Ndugu zangu hii ni Serikali haichezewi. Hakuna aliyejuu ya Sheria. Mlipewa vizuri elimu, watu wanaitisha vikao tumekuja kutoa elimu kwa mara ya mwisho. Ninyi sio pekeyenu mnadai fidia

hatutakubali kuinyima Wilaya amani" ameeleza


Kama pale tulijibiwa vizuri na Naibu Waziri. Tumeambiwa tuvute subira mpaka pale pesa zitakapo kuja

Iboya ikijengwa ni maendeleo ya ninyi wenyewe, tusifanye fujo. Hatutakaa tena kikao kingine wizara imeshapelekewa"


Kaimu Meneja wa TANROADS Mkoa wa Songwe, Mhandisi Salvan H. Mloka amesema kuwa "Mradi huu upo na mpaka sasa kuna wataalamu wameshafika katika Wilaya yetu na mradi huu tutaanza kwa maana hiyo ni kitu ambacho kipo na fedha itakapopatikana mtaziona tu" amesisitiza


Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi, George Musyani ameeleza kuwa Wananchi wa Ihanda wana wajibu wa kumshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwaletea mradi huo.


"Kupitia mradi huu wana Ihada wana wajibu kumshukuru usiku na mchana Mheshimiwa Rais sasa mivutano hii inakuwa sio sawa. Mradi huu utachochea ukuaji wa Wilaya na ukuaji wa maendeleo kwa ujumla. Wana Ihanda kuweni wa moja, na inapokuja miradi ndo maendeleo yanakuja, na mradi huu utakuzabpato la halmashauri" ameeleza mwenyekiti huyo na kuongeza;


"Tufuate itifaki za uongozi kama una kero tushirikishane kwa kufuata utaratibu , tuna kiu sana na mradi huu

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA March 09, 2025
  • RASIMU PENDEKEZWA YA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2025. March 09, 2025
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DC MBEGA AWATAKA VIONGOZI WA KATA KUSHIRIKIANA KATIKA UTENDAJI

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AGAWA SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI 120 WANAOTOKA MAZINGIRA MAGUMU ISANGU

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI, ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    March 19, 2025
  • DC MBEGA ASISITIZA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI MZURI WA AMCOS MBOZI

    March 18, 2025
  • Ona vyote

Video

VIJANA MSITUMIE MIKOPO YA 10% KUBET MBOZI
video zaidi

Kurasa za Karibu

  • You Tube
  • Katiba

Tovuti Muhimu

  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

Watembeleaji wa kimataifa

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

writingMasterThesis

Eneo la ramani

Wasiliana nasi

    Mbozi

    Anuani: 3

    Simu: 025-2580272

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa