• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Mbozi District Council
Mbozi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango , Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Maliasili
    • Vitengo
      • Wakaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

DC MAHAWE AOMBA WILAYA YA MBOZI KUJENGEWA HOSPITALI MPYA YA WILAYA, WAZIRI UMMY AJIBU

Kurushwa hewani: October 13th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Mhe. Ester Mahawe amemuomba Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu kuwajengea hospitali ya Wilaya badala ya kurekebisha hospitali ya Wilaya ya Vwawa iliopo sasa.

DC Mahawe ametoa ombi hilo leo Jumatano Septemba 13, 2023 wakati wa ziara ya siku tatu ya Waziri Ummy katika Mkoa Songwe.

Amesema kuwa miundombinu ya  hospitali ya Wilaya ya Vwawa ni chakavu na ilijengwa muundo wa zaman hivyo ukarabati utagharimu fedha nyingi kuliko kufanya ujenzi upya.

"Mhemiwa Waziri miundombinu ya hospitali hii ya Wilaya ilijengwa kama kituo cha afya cha zamani na mpaka utanuzi wake lilikuwa linaongezwa jengo moja moja mpaka yamefikia haya"

"Pia nafasi imejaa hakuna eneo la kufanya utanizi katika eneo hili , hivyo tunaomba kujengewa hospitali itakayo kuwa ya kisasa ili huduma iendane na majengo" ameomba DC Mahawe

Akizungumza katika ziara hiyo Waziri wa Afya Mhe Ummy Mwalimu amesema kuwa amepokea ombi hilo la DC Mahawe akiwaagiza waandike barua  kwa TAMISEMI ili wapate kuwataarifu juu ya ombi hilo.

Waziri huyo amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan hana deni na watanzania kwasababu kila mwezi anatoa fedha za kununulia dawa

Waziri Ummy amewaagiza wanaohusika katika kiagiza dawa waagize dawa kwa wakati na kufanya makadirio ya dawa yalio sahihi Ili wananchi wapate huduma bora katika vituo vya kutolea huduma za afya

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA March 09, 2025
  • RASIMU PENDEKEZWA YA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2025. March 09, 2025
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DC MBEGA AWATAKA VIONGOZI WA KATA KUSHIRIKIANA KATIKA UTENDAJI

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AGAWA SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI 120 WANAOTOKA MAZINGIRA MAGUMU ISANGU

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI, ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    March 19, 2025
  • DC MBEGA ASISITIZA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI MZURI WA AMCOS MBOZI

    March 18, 2025
  • Ona vyote

Video

VIJANA MSITUMIE MIKOPO YA 10% KUBET MBOZI
video zaidi

Kurasa za Karibu

  • You Tube
  • Katiba

Tovuti Muhimu

  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

Watembeleaji wa kimataifa

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

writingMasterThesis

Eneo la ramani

Wasiliana nasi

    Mbozi

    Anuani: 3

    Simu: 025-2580272

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa