• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Mbozi District Council
Mbozi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango , Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Maliasili
    • Vitengo
      • Wakaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

DC MAHAWE AKUTANA NA WATUMISHI WA AFYA MBOZI

Kurushwa hewani: February 3rd, 2024

DC MAHAWE AKUTANA NA WATUMISHI WA AFYA WILAYA YA MBOZI

Kutokana na kuwepo wa malalamiko ya wananchi katika maeneo mbalimbali kwenye vituo vya kutolea huduma ya afya, Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mhe. Esther Mahawe amelazimika kukutana na watumishi hao ili kutafuta ufumbuzi wa kero hiyo.

Kikao hicho kilichohusisha timu ya usimamizi huduma ya afya, waganga wafawidhi wa hospitali, vituo vya afya na zahanati na watumishi wa hospitali kimefanyika leo Ijumaa Februari 9, 2024.

Akizungumza katika kikao hicho Mkuu Wilaya hiyo amesema kuwa kutokana na 'hiracky' ya hospitali iliyopangwa vizuri sio kwa bahati mbaya kila mmoja akianza kutengeneza vizuri eneo lake hakutakuwa na kero kwa wananchi

"Mpaka malalamiko yanatoka huko mpaka kwa viongozi wakubwa kama kero zilizoibuka juzi kwa mkuu wa Mkoa mnakuwa na lugha mbaya na za karaha kutoka kwa wauguzi hasa wanaofanya kazi katika chumba cha kujifungulia, mbaya zaidi wahudumu wanawake

Hakuna mwanamke asiyejua mapito ya mwanamke anayejifungua anayopitia kipindi cha kujifungua, japo sio wote wenye kauli mbaya" amesema na kuongeza;

Kwanini mnashindwa kuwa na lugha nzuri za kumfariji mtu?" Amehoji Mkuu huyo wa Wilaya

Sambamba na hilo, Amehimiza watumishi wote wa afya kuhakikisha wanavaa vitambulisho ili kuwaatambua kwa majina wanapohudumia wagonjwaMISHI WA AFYA WILAYA YA MBOZI

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA March 09, 2025
  • RASIMU PENDEKEZWA YA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2025. March 09, 2025
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DC MBEGA AWATAKA VIONGOZI WA KATA KUSHIRIKIANA KATIKA UTENDAJI

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AGAWA SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI 120 WANAOTOKA MAZINGIRA MAGUMU ISANGU

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI, ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    March 19, 2025
  • DC MBEGA ASISITIZA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI MZURI WA AMCOS MBOZI

    March 18, 2025
  • Ona vyote

Video

VIJANA MSITUMIE MIKOPO YA 10% KUBET MBOZI
video zaidi

Kurasa za Karibu

  • You Tube
  • Katiba

Tovuti Muhimu

  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

Watembeleaji wa kimataifa

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

writingMasterThesis

Eneo la ramani

Wasiliana nasi

    Mbozi

    Anuani: 3

    Simu: 025-2580272

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa