• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Mbozi District Council
Mbozi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango , Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Maliasili
    • Vitengo
      • Wakaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

DC ATETA NA VIONGOZI WA DINI, MBOZI

Kurushwa hewani: February 20th, 2023


MBOZI. Mkuu wa Wilaya ya Mbozi (DC), Esther Mahawe amekutana na kufanya mazungumzo viongozi wa dini katika wilaya hiyo kujadili mustakabali wa wilaya hiyo.


Kikao hicho kimefanyika leo Jumatatu Februari 2023 katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi


Katika kikao hicho mkuu wa wilaya huyo amesema kuwa amekutana na viongozi hao ili kujua maono yao juu ya wilaya hiyo.


"Nimekutana na nyie kikundi cha kwanza ni viongozi wa dini kikao cha kufahamiana na nilikua napenda kuanza na Mungu katika wilaya yetu,


Nimekutana na ninyi ili kujua maono yetu ya wilaya ya Mbozi. Tunazaidi ya watu laki tano nikasema nisipokaa nanyi nikajua mapokeo yenu, nikajua njozi zenu  huenda nikakosa ushirikiano nilioutarajia" amesema mkuu huyo wa wilaya.


"Binafsi naamini katika ushiriki kwamba wewe kama kiongozi wa dini ukibeba sehemu ya jukumu lako la kuiombea wilaya yetu haitapata shida"


Ametoa rai kwa viongozi hao kuwakumbusha waumini kusimaia malezi.


"Turudi kwenye malezi tuwakumbushe waumini wetu, watoto wetu na vijana wanacheza kamari na pia tuangalie tunavyoishauri jamii ili kuepusha masuala ya visasi na taharuki"


Amesisitiza kuwa "Naomba turudi katika maadili yetu watu wasijifiche kwenye mwamvuli wa dini tutachukua hatua kama wahalifu wengine"


"Ulinzi usipotoka kwa Mungu ni kazi bure, natamani kuona tunashirikiana kwa ukaribu, binafsi napenda uongozi unaoacha alama watu wakukumbuke Kwa ulichofanya" amesema


Mkuu wa Wilaya huyo amesema kuwa yeye ni mfaatiliaji na atatumia muda mwingi kwenda kufuatilia miradi na kisikiliza kero za wananchi huko vijijini.


Katika masuala ya utekelezaji wa miradi DC huyo amemtaka mkurugenzi kuwakumbusha watumishi kuwa hatapokea mradi mbovu kwasababu yenye ni mtu anayesimamia katika viwango


"Mkurugenzi uwaambie kabisa watumishi sitapokea mradi mbovu, Mimi ni injinia nisie na cheti sitakubali mradi mbovu" amesisitiza


Aidha DC huyo ametumia kikao hicho kupiga marufuku kuwatoza fedha akinamama wajawazito wanaotozwa fedha kipindi wanachokwenda kujifungua katika hospitali za serikali.


Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA March 09, 2025
  • RASIMU PENDEKEZWA YA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2025. March 09, 2025
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DC MBEGA AWATAKA VIONGOZI WA KATA KUSHIRIKIANA KATIKA UTENDAJI

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AGAWA SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI 120 WANAOTOKA MAZINGIRA MAGUMU ISANGU

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI, ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    March 19, 2025
  • DC MBEGA ASISITIZA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI MZURI WA AMCOS MBOZI

    March 18, 2025
  • Ona vyote

Video

VIJANA MSITUMIE MIKOPO YA 10% KUBET MBOZI
video zaidi

Kurasa za Karibu

  • You Tube
  • Katiba

Tovuti Muhimu

  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

Watembeleaji wa kimataifa

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

writingMasterThesis

Eneo la ramani

Wasiliana nasi

    Mbozi

    Anuani: 3

    Simu: 025-2580272

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa