Wilaya ya Mbozi imezindua rasmi Programu Jumuishi ya Taifa ya Malezi, Makuzi na Maendeleo ya Awali ya Mtoto (PJT-MMMAM).
Programu hiyo imezinduliwa leo Jumanne Februari 13, 2024 na Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbozi, Ndugu Mbwana Kambanga kwa akimwakilisha Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Mhe. Esther Mahawe.
Uzinduzi huu umehudhuriwa na wadau mbalimbali wakiwemo waheshimiwa Madiwani, Wakuu wa Idara mbalimbali za wilaya, Watendaji Kata na Vijiji na Kamati ya Amani.
Washirki walipewa elimu juu ya muhtasari wa PJT-MMMAM, Sayansi ya MMMAM na kujadili taarifa za mkoa wa Songwe kwa mujibu wa ripoti ya ECDI 2030.
Baada ya kupata elimu waheshimiwa madiwani walikuwa na mjadala kuhusu wasilisho na waliiazimia yafuatayo.
Mbozi
Anuani: 3
Simu: 025-2580272
Simu ya kiganjani:
Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz
Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa