Sunday 6th, July 2025
@Mbozi
Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi inatarajia kupokea Mwenge wa uhuru tarehe 02/04/2019 baada ya uzinduzi wa mbio za mwenge kufanyika Mkoani Songwe tarehe 02/04/2019 katika viwanja vya Forest mlowo vilivyopo katika Halmashauri ya Mbozi.
Hivyo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi anaomba wananchi wote wa Mbozi kujitokeza kwa wingi kutoa hamasa na ushirikiano wa kutosha wakati Mwenge huu unapita katika maeneo yetu, tuushangilie Mwenge wetu wa Uhuru unapopita katika Maeneo yetu. Wananchi wote mnakaribishwa kuupokea Mwenge wetu wa Uhuru.
Mbozi
Anuani: 3
Simu: 025-2580272
Simu ya kiganjani:
Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz
Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa