• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Mbozi District Council
Mbozi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango , Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Maliasili
    • Vitengo
      • Wakaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

RC MICHAEL ATAJA VIPAUMBELE VITANO MKOA WA SONGWE

Kurushwa hewani: March 21st, 2023

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Dkt Fransis Michael ametaja vipaumbele vinne huku akiwaomba watumishi wa umma katika mkoa huo kuungana.


Dkt Michael aliteuliwa  Jumapili Februari 26, 2023 kuchukua nafasi ya Waziri Kindamba ambaye alihamishiwa Mkoa wa Tanga.


Akizungumza wakati akikabidhiwa ofisi rasmi na aliyekuwa mkuu wa mkoa huo leo Jumatatu Machi 20, 2023 Dk Michael amesema kuwa kipaumbele chake cha kwanza ni ulinzi na usalama kwa wananchi na mali zao.


"Kipaombele changu cha kwanza nu ulinzi na usalama wa raia na mali zao, nitahakikisha vinatiliwa mkazo na nashukuru sana kwa kuwa kamati ya uliznzi na usalama mkoa wananipa ushirikiano" amesema


Amewataka wananchi kuhusika katika suala la ulinzi bila kuviachia vyombo vinavyohusika pekee.


Kipaumbele cha pili alichotaja mkuu huyo wa mkoa ni usimamizi wa miradi ya maendeleo.


Amesema kuwa miradi ya maendele inayotekelezwa na Serikali ni fedha za wananchi na walipa kodi hivyo amewaagiza wakurugenzi na wenyeviti wa halmashauri za mkoa huo kusimamia na miradi hiyo.


"Nitakuwa mkali kwa hili, kwa miradi ambayo tunatakiwa tuisimamie tukaisimamia viuri,


Tunapaswa kuhakikisha miradi ya maendeleo na fedha tunazokusanya zinatumika ipasavyo.


Kipaombele cha tatu cha mkuu huyo wa mkoa mpya ni utoaji wa mikopo ya alilimia 10 kutoka kwa hamlamshauri kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu.


"Wenyeviti wa halmashauri simamieni hili suala ili wanaopaswa kupata hizi fedha wapate".


Mkuu huyo wa mkoa ametaja jambo lingine ambalo atalisimamia kuwa ni utunzaji wa mazingira.


"Utunzaji wa mazingira ni jambo la msingi na wote inatakiwa tulitilie mkazo" amesema


Dk Michael ametaja jambo lingine atakalozingatia katika uongozi wake kuwa ni ushirikiano kwa watumishi na taasisi mbalimbali ili kuweza kuupaisha Mkoa wa Songwe.


"La mwisho ni ushirikiano, nitawaomba ushirikiano wa hali ya juu sana. ushirikiano ni jambo la msingi sana" amesema Dk Michael akitaja vipaumbele huku akimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumuamini na kumteua katika nafasi hiyo.


Kwa upande wake Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe (RAS), Happiness Seneda amesema kwa niaba ya viongozi na watumishi wa umma wa mkoa huo wamepokea maelekezo na anaamini kila mtumishi atayatekeleza.


"Tumepokea maelekezo na kila mmoja amesikia.Tutakusikiliza na tutakupa ushirikiano ili kutimiza azma ya Rais Samia Suluhu Hassan ya kuwatumikia wananchi ikamilike" amesema

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA March 09, 2025
  • RASIMU PENDEKEZWA YA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2025. March 09, 2025
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DC MBEGA AWATAKA VIONGOZI WA KATA KUSHIRIKIANA KATIKA UTENDAJI

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AGAWA SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI 120 WANAOTOKA MAZINGIRA MAGUMU ISANGU

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI, ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    March 19, 2025
  • DC MBEGA ASISITIZA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI MZURI WA AMCOS MBOZI

    March 18, 2025
  • Ona vyote

Video

VIJANA MSITUMIE MIKOPO YA 10% KUBET MBOZI
video zaidi

Kurasa za Karibu

  • You Tube
  • Katiba

Tovuti Muhimu

  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

Watembeleaji wa kimataifa

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

writingMasterThesis

Eneo la ramani

Wasiliana nasi

    Mbozi

    Anuani: 3

    Simu: 025-2580272

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa