• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Mbozi District Council
Mbozi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango , Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Maliasili
    • Vitengo
      • Wakaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

MADIWANI WAMPONGEZA MKURUGENZI WA HALAMASHAURI KWA UNUNUZI WA EXCAVATOR, MBOZI

Kurushwa hewani: May 2nd, 2023

MBOZI. Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi limempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri hiyo (DED), Abdallah Nandonde kwa kufanikisha ununuzi wa mtambo mpya wa

Excavator.


Pongezi hizo zimetolewa leo April 28, 2023 wakati wa Baraza kamili la Madiwani.


Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi imefanikiwa kununua mtambo mpya wa mtambo wa Excavator kwa Shilingi milioni 500 fedha za zinazotokana na mapato ya ndani.


Akizungumza kwa niaba ya madiwani, diwani wa kata ya Halungu, Maarifa Mwashitete amesema kuwa halmashauri inatakiwa kumpongeza mkurugenzi huyo kwa ununuzi wa mtambo kwasababu ilikuwa ni ndoto ya muda mrefu


"Hatuna budi kumpongeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Abdallah Nandonde kwa kuhakikisha ndoto ya halmashauri yetu inatimia"


Mchakato huu tuliuanza toka 2015  na hatimaye sasa umekamilika, hatunabudi kujipongeza kwa hili" amesema diwani huyo huku madiwani wengine wakipiga makofi



"Kwasababu ndoto yetu ni kuwa na kampuni ya ukandarasi inabidi tuhakikishe tunafanya ununuzi wa vifaa vingine ili viende sawia na mtambo huo" ameshauri


Kwa upande wake Diwani wa Kata ya Itaka, Alan Mgulla amesema kuwa wamepita wakurugenzi wengi lakini hawakuweza kufanikisha ununuzi wa mtambo huo.


"Wamepita wakurugenzi wengi lakini wewe (Abdallah Nandonde) umefanikisha kiu yetu ya muda mrefu, japokuwa mchakato tuliuanza wakati linauzwa bei rahisi lakini ilishindikana lakini wewe umeweza hatuna budi kukupongeza na tunakuombea uendelee kubaki Mbozi" amesisitiza


Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mbozi, Julius Mbwiga ameipongeza halmashauri kwa kupata hati safi na kuhimiza umoja na mshikamamo walionao uendelee.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA March 09, 2025
  • RASIMU PENDEKEZWA YA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2025. March 09, 2025
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DC MBEGA AWATAKA VIONGOZI WA KATA KUSHIRIKIANA KATIKA UTENDAJI

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AGAWA SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI 120 WANAOTOKA MAZINGIRA MAGUMU ISANGU

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI, ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    March 19, 2025
  • DC MBEGA ASISITIZA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI MZURI WA AMCOS MBOZI

    March 18, 2025
  • Ona vyote

Video

VIJANA MSITUMIE MIKOPO YA 10% KUBET MBOZI
video zaidi

Kurasa za Karibu

  • You Tube
  • Katiba

Tovuti Muhimu

  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

Watembeleaji wa kimataifa

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

writingMasterThesis

Eneo la ramani

Wasiliana nasi

    Mbozi

    Anuani: 3

    Simu: 025-2580272

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa