• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Mbozi District Council
Mbozi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango , Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Maliasili
    • Vitengo
      • Wakaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

DC MAHAWE AWATAKA WANANCHI MBOZI KUWEKA LENTA NYUMBA ILI KUZUIA KUEZULIWA NA UPEPO

Kurushwa hewani: December 11th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Mbozi Mhe. Esther Mahawe amewataka wananchi Wilaya hiyo kujenga nyumba zao kwa kuzingatia kanuni bora za ujenzi Ili kuepuka madhara yanayoweza kujitokeza kipindi cha mvua na upepo mkali.

Mkuu wa Wilaya huyo ameyasema hayo Jumanne Disemba 11, 2023 wakati akikabidhi msaada kwa waathirika ambao nyumba zao zimebomolewa kwa upepo mkali ulioambatana na mvua kubwa.

DC Mahawe amesema kuwa asilimia kubwa za nyumba za Wilaya hiyo za vijijini zimejengwa bila kufungwa lenta ambayo inasababisha nyumba hizo zisiwe imara.

"Jamani Wanambozi wenzangu nyumba nyingi tunazojenga huku vijijini hazina lenta na mwenyekiti hapa amenidokeza zinajengwa kwa siku tatu mpaka nne kitu ambacho sio sawa haziwezi kuwa imara"

"Pia katika maeneo yetu tumekata miti mno, sasa upepo ukija kunakuwa hakuna kitu cha kuzuia unaenda moja kwa moja kwenye nyumba unaharibu"

Mkuu wa Wilaya ya Mbozi akiwa na kamati ya maafa ya Wilaya ya Mbozi na kamati ya usalama Wilaya wamekabidi vitu mbalimbali kama msaada katika familia zilizo athirika zaidi vitu vyenye thamani ya shilingi milioni 9,030,000

Familia hizo zimepewa mabati 11 Kila kaya,misumari ya bati kilo 2, mifuko ya saruji, godoro moja kaya na madebe 2 ya mahindi kila kaya

Hata hivyo nyumba zilizoathirika na mvua hizo ni nyumba 171 lakini kipaumbele katika kugawa msaada huo imezingatia watu wenye mahitaji maalum, wajane, watu wenye hali duni na pia nyumba zilizobomoka kabisa.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA March 09, 2025
  • RASIMU PENDEKEZWA YA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2025. March 09, 2025
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DC MBEGA AWATAKA VIONGOZI WA KATA KUSHIRIKIANA KATIKA UTENDAJI

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AGAWA SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI 120 WANAOTOKA MAZINGIRA MAGUMU ISANGU

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI, ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    March 19, 2025
  • DC MBEGA ASISITIZA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI MZURI WA AMCOS MBOZI

    March 18, 2025
  • Ona vyote

Video

VIJANA MSITUMIE MIKOPO YA 10% KUBET MBOZI
video zaidi

Kurasa za Karibu

  • You Tube
  • Katiba

Tovuti Muhimu

  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

Watembeleaji wa kimataifa

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

writingMasterThesis

Eneo la ramani

Wasiliana nasi

    Mbozi

    Anuani: 3

    Simu: 025-2580272

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa