• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Mbozi District Council
Mbozi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango , Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Maliasili
    • Vitengo
      • Wakaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

DC MAHAWE AWAITA WANANCHI KUUPOKEA MWENGE WA UHURU MBOZI

Kurushwa hewani: August 23rd, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Esther Mahawe amewataka wananchi wa Wilaya hiyo kujitokeza kwa wingi katika mapokezi ya Mwenge wa Uhuru ambao unatarajiwa kupokewa Septemba 4 mwaka huu katika Kijiji cha Nanyala.

Mbio za Mwenge huo wa Uhuru zinatarajiwa kuzindua miradi mbalimbali ya maendeleo ambayo inatekelezwa na Serikali ili kuwaboreshea na kuwasogezea karibu huduma wananchi.

DC Mahawe ametoa wito huo Agosti 23, 2024 akiwa katika mikutano wa hadhara kata za Nanyala na Ruanda ambapo akisema Mwenge wa Uhuru utapokewa kiwilaya katika Kijiji cha Nanyala kabla ya kuzungushwa kukagua na kuzindua miradi mbalimbali katika wilaya hiyo.

“Mwenge wa Uhuru unaleta upendo, umoja na mshimkamano na unaondoa chuki baina yetu kwa hiyo tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa ajili hiyo. Kazi hii imefanywa vizuri na viongozi wetu wa zamani akina Mwalimu Nyerere na wengine wengi. Ninazidi kutoa hamasa ya ninyi wananchi kualikana kwa wingi ili kuhakikisha kwamba hiyo mikesha yetu ya Mwenge inaenda vizuri tupokee mwenge hapa ili tuweze kuukimbiza kwenye maeneo mengine” amesisitiza mkuu huyo wa Wilaya.

“Utapita kwenye katika kata zisizozidi tano ila hizo zitawakilisha kata zawilaya yetu. Mwenge huo utazindua miradi zaidi ya Sh8 bilioni katika kata hizo. Kutakuwa na mradi wa maji, zahanati, maradi wa barabara ya lami, mradi wa tofali unaotokana na mapato ya ndani ya halmashauri na mradi wa excavator” amesema Mkuu huyo wa wilaya akibainisha baadhi ya miradi ambayo itazinduliwa na Mwenge wa Uhuru.

 Amesema kuwa miradi hiyo imesimamiwa vizuri na halmashauri hivyo ikizinduliwa itakuwa inasaidia kuongeza mapato ya halmashauri na kurahisisha huduma kwa wananchi.

Amesema kuwa miradi hiyo itakayopitiwa na Mwenge ni baadhi tu ya miradi lakini Serikali inatekeleza miradi mingi katika Wilaya hiyo ambapo Mwenge huo hautaweza kukimbizwa katika miradi yote

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA March 09, 2025
  • RASIMU PENDEKEZWA YA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2025. March 09, 2025
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DC MBEGA AWATAKA VIONGOZI WA KATA KUSHIRIKIANA KATIKA UTENDAJI

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AGAWA SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI 120 WANAOTOKA MAZINGIRA MAGUMU ISANGU

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI, ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    March 19, 2025
  • DC MBEGA ASISITIZA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI MZURI WA AMCOS MBOZI

    March 18, 2025
  • Ona vyote

Video

VIJANA MSITUMIE MIKOPO YA 10% KUBET MBOZI
video zaidi

Kurasa za Karibu

  • You Tube
  • Katiba

Tovuti Muhimu

  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

Watembeleaji wa kimataifa

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

writingMasterThesis

Eneo la ramani

Wasiliana nasi

    Mbozi

    Anuani: 3

    Simu: 025-2580272

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa