Kurushwa hewani: March 14th, 2024
Walimu wa shule za msingi Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe wametakiwa kufuata kanuni bora za ufundishaji kwasababu ni watu wanaotoa mwelekeo, ujuzi na ufahamu kwa wanafunzi
...
Kurushwa hewani: February 22nd, 2024
Shirika lisilo la kiserikali la Sanitation and Water Action (SAWA) chini ya ufadhili wa Shirika la Watoto Duniani (UNICEF) limekabidhi matundu 135 kwa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi yaliyojengwa katik...
Kurushwa hewani: February 15th, 2024
Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe, Happiness Seneda amezindua kampeni maalumu ya utoaji chanjo ya surua mkoani humo.
Uzinduzi huo umefanyika katika Hospitali ya Wilaya ya Mbozi iliyopo mjini...