• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Mbozi District Council
Mbozi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango , Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Maliasili
    • Vitengo
      • Wakaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

RC MWANGELA: WANANCHI WAPEWE ELIMU ZAIDI KUONGEZA HIFADHI YA KIMONDO

Kurushwa hewani: November 28th, 2020

RC MWANGELA: WANANCHI WAPEWE ELIMU ZAIDI KUONGEZA  HIFADHI YA KIMONDO  

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Breg. Jen. Nicodemus Mwangela amewaagiza viongozi wa Wilaya ya Mbozi kuendelea kutoa elimu kwa wananchi  juu ya faida ya kuongeza ukubwa wa eneo la hifadhi ya Kimondo lililopo kijiji cha ndolezi Kata ya Mlangali ambalo kwa sasa liko chini ya Mamlaka ya uhifadhi wa Ngorongoro.

Mkuu wa Mkoa ametoa agizo ilo alipokutana na Serikali ya Kijiji cha Ndolezi kufuatia baadhi ya wananchi kutoelewa vizuri mchakato wa fidia na faida ya kuongeza ukubwa wa eneo la Kimondo ambalo kwa sasa liko chini ya  Mamlaka ya uhifadhi wa Ngorongoro.

Serikali kupitia Mamlaka ya uhifadhi wa Ngorongoro ina mpango wa kuchukua Ardhi kwa fidia kwa baadhi ya wananchi wanaozunguka eneo la Kimondo kwa ajili ya kuleta wanyama mbalimbali pamoja na kuboresha miundombinu na kukifanya  Kimondo cha Mbozi kuwa eneo la utalii kwa Mkoa wa Songwe. 

Mkuu wa Mkoa amesema jambo ili ni la hiari linaitaji elimu zaidi na wananchi wakikubaliana kwa hiari basi serikali itakuja kufanya tathimini kwa kina na kila mtu atalipwa fidia yake kwa mujibu wa sharia na taratibu ndani ya miezi sita baada ya Serikali kufanya tathimini.

Pia, Mhe. Mwangela ametoa wito kwa wananchi ambao hawakubaliani na swala ili kwa sababu za kutokuwa na uelewa juu ya swala ili kutowatishia maisha au kuwaogopesha wale ambao wamekubali Ardhi yao ichukuliwe kwani jambo ili Serikali italifanya baada ya wananchi wote kukubaliana juu ya ili.

Bi. Celina Mwanda mkazi wa Ndolezi ambaye Ardhi iko eneo ambalo linahitajika na Ngorongoro ameiomba Serikali kuendelea kutoa elimu ya jinsi fidia itakavyolipwa kwenye mashamba pamoja na makazi ndio sababu kubwa ya baadhi ya wananchi wameshindwa kulipokea vizuri.

Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Mhe. John Palingo amesema wamefanya mikutano na Serikali ya Kijiji pamoja na wananchi na kuwaeleza juu ya kuchukua ardhi yao kwa fidia kwa ajili kuongeza eneo la Kimondo na kuna baadhi ya wananchi wamekubali na kulipokea na wengine bado wamegoma kwa kuwa bado hawajaelewa vizuri.

Mbunge wa Jimbo la Vwawa, Mhe. Japhet Hasunga amesema kimondo hiki ni cha miaka mingi lakini hakikuwa na thamani lakini baada ya mimi kuteuliwa na Rais kwa nafasi ya Naibu waziri wa Utalii Serikali ilianza mchakato wa kukitangaza Kimondo cha Mbozi kwa kuleta pesa ya kujenga jengo la kisasa pamoja na kuanzisha siku ya Kimondo Duniani ambayo hufanyika mwishoni mwa mwezi Juni kila mwaka.

“Tusiwaze sana Kilimo sehemu ambazo kuna shughuli za utalii wananchi wanatengeneza pesa nzuri kuliko sisi tunaofanya Kilimo jambo ili la utalii liko vizuri tunachotaka ni taratibu za fidia zifuatwe” Mbunge wa Jimbo la Vwawa, Mhe. Japhet  Hasunga.

Mhe. Hasunga  amesema eneo ili Ngorongoro wakileta wanyama pamoja na kuliboresha vizuri litakuwa eneo nzuri kwa ajili ya kufanya utalii kwa Mkoa wa Songwe  na vijana wa kijiji cha ndolezi watapata ajila na kuboresha maisha yao.

Serikali ya Mkoa wa Songwe kwa kushirikiana na Mamlaka ya Uhifadhi wa Ngorongoro wanampango wa kukifanya Kimondo cha Mbozi na eneo ilo kuwa na vivutio mbalimbali vya utalii.

Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA March 09, 2025
  • RASIMU PENDEKEZWA YA SHERIA NDOGO ZA MWAKA 2025. March 09, 2025
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • DC MBEGA AWATAKA VIONGOZI WA KATA KUSHIRIKIANA KATIKA UTENDAJI

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AGAWA SARE ZA SHULE KWA WANAFUNZI 120 WANAOTOKA MAZINGIRA MAGUMU ISANGU

    March 21, 2025
  • DC MBEGA AFANYA ZIARA KUSIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI, ASISITIZA USHIRIKIANO KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    March 19, 2025
  • DC MBEGA ASISITIZA UIMARISHAJI NA USIMAMIZI MZURI WA AMCOS MBOZI

    March 18, 2025
  • Ona vyote

Video

VIJANA MSITUMIE MIKOPO YA 10% KUBET MBOZI
video zaidi

Kurasa za Karibu

  • You Tube
  • Katiba

Tovuti Muhimu

  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

Watembeleaji wa kimataifa

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

writingMasterThesis

Eneo la ramani

Wasiliana nasi

    Mbozi

    Anuani: 3

    Simu: 025-2580272

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa