• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Mbozi District Council
Mbozi District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Misingi mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo na Umwagiliaji
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango , Takwimu na Ufuatiliaji
      • Afya na Ustawi wa Jamii
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Idara ya Maji
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Idara ya Ujenzi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mipango Miji na Maliasili
    • Vitengo
      • Wakaguzi wa Ndani
      • Tehama
      • Sheria
      • Manunuzi
      • Uchaguzi
      • Ufugaji Nyuki
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Mipango na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Ukimwi
    • Ratiba ya Vikao
    • Ratiba ya kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
      • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Ripoti mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Miongozo mbalimbali
    • Majarida Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi au kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha
    • Habari
    • Matukio

RC MWANGELA: ATOA SIKU 7 KWA TAASISI KUWASILISHA MPANGO KAZI WA UTEKELEZAJI WA ILANI

Kurushwa hewani: November 19th, 2020

 

RC MWANGELA:  ATOA SIKU 7 KWA TAASISI KUWASILISHA MPANGO KAZI WA UTEKELEZAJI WA ILANI

Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Brg. Jen. Nicodemus Mwangela ametoa siku saba kwa Taasisi zilizopo Songwe na wakuu wa Idara kuja na mpango kazi wa namna ya kuanza kutekeleza Ilani ya Chama cha Mapinduzi ya 2020-2025 pamoja na Hotuba ya Rais aliyotoa wakati wa kufungua Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Viongozi wa Taasisi waliokutana hii leo na Mkuu wa Mkoa baadhi yao ni TANESCO, RUWASA,TARURA, TANROAD, TRA, CAG, TBA, NFRA, PSPF, TEMESA, NMB, TACRI pamoja na Makatibu Tawala wasaidizi kutoka Songwe

Mkuu wa Mkoa ameagiza kila ofisi ya Umma kuwa na Ilani ya CCM 2020-2025 na Hotuba ya Rais aliyotoa wakati wa kufungua Bunge la 12 pia amewakabidhi wakuu wa Taasisi za Songwe Ilani ya CCM na Hotuba ya Rais aliyotoa wakati wa kufungua Bunge la 12 ili waanze utekelezaji katika Taasisi zao.

“Nahitaji Mpango kazi wa kila Taasisi unaokwenda sambamba na Ilani ya CCM 2020-2025 na Hotuba ya Rais katika kutatua kero za Wananchi wa Songwe” Mhe. Brg. Jen. Nicodemus Mwangela

 Aidha Mkuu wa Mkoa amesema ahadi zilizotolewa na Serikali kwa wananchi, Taasisi hizo ndio zinatakiwa kuzitekeleza ikiwa ni pamoja na usimamizi wa miradi ya maendeleo iliyo kwenye utekelezaji na ile itakayoanza.

Na kwa upande wake Katibu Tawala Mkoa wa Songwe, Dr. Self Shekalaghe akiongea kwa niaba ya wakuu wa Taasisi amesema kila Taasisi itapewa kero za wananchi zilizopo na zitakazo ibuka ili zitatuliwe, na kero hizo zitawasilishwa kwenye kila kikao cha kila robo ya mwaka na kuziwasilisha kwa Mkuu wa Mkoa.

Wakati huo huo Mkuu wa Mkoa ameagiza kamati ya usalama Mkoa kuzifuatilia kwa karibu  ofisi za  TANESCO na RUWASA Mkoa wa Songwe kutokana na kero ya kukatika kwa Umeme mara kwa mara bila sababu za msingi pamoja na kero ya maji kwenye miradi iliyokamilika.

Matangazo

  • MATOKEO YA DARASA LA SABA 2020 SHULE YA KWANZA HADI YA MWISHO November 22, 2020
  • TANGAZO LA KAZI KWA WATENDAJI WA VIJIJI February 18, 2021
  • Ona vyote

Habari Mpya

  • SONGWE: WANANCHI WAHIMIZWA KUPIMA UKIMWI KUJUA HALI ZAO KUEPUKA MAAMBUKIZI MAPYA

    December 01, 2020
  • RC MWANGELA: WANANCHI WAPEWE ELIMU ZAIDI KUONGEZA HIFADHI YA KIMONDO

    November 28, 2020
  • RC MWANGELA: ATOA SIKU 7 KWA TAASISI KUWASILISHA MPANGO KAZI WA UTEKELEZAJI WA ILANI

    November 19, 2020
  • SONGWE KUUNDA KIKOSI KAZI KUONGEZA WANACHAMA WA CHF

    November 17, 2020
  • Ona vyote

Video

video zaidi

Kurasa za Karibu

  • You Tube
  • Katiba

Tovuti Muhimu

  • Wakala ya Serikali Mtandao
  • Ikulu
  • Tamisemi
  • Utumishi
  • Tovuti ya Serikali
  • Watumishi Portal

Watembeleaji wa kimataifa

world map hits counter

Idadi ya watembeleaji

writingMasterThesis

Eneo la ramani

Wasiliana nasi

    Mbozi

    Anuani: 3

    Simu: 025-2580272

    Simu ya kiganjani:

    Barua pepe: ded@mbozidc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera za faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Tovuti
    • Huduma

Hati Miliki 2017 Halmashauri ya Wilaya-Mbozi. Haki zote zimehifadhiwa